Diaspora anawezaje kununua Bond/T-bill za Benki Kuu ya Tanzania?

Tumia Bank za Tanzania mfano CRDB etc.
Nadhani Kamundu anauliza swali la maana sana. Jibu lake haliwezi kuwa rahisi hivyo
Anachouliza ni utaratibu mzima unakuwaje.

Jibu la ''Tumia Bank..' ni halisi kwa Watanzania. Hapa ndipo wenzetu kama Kenya wanatushinda.
Hutuwezi kueleza kitu kwa ufasaha. Mfano , mtu ataulizwa Tanzania kuna vivutio gani, jibu ni rahisi Serengeti. Inawezekana mtu huyo hahitaji kuona Wanyama pengine anataka maeneo ya chakula n.k

Msaidie Kamundu, huko CRDB inakuwaje? Mpe detail kama unazijua tafadhali
 
Thanks for your incredulous reply. I believe if Kamundu would like some more info will come into my messages for clarification but otherwise whoever who has dealt with such transactions overseas will understand.

BTW TBs is not a business of every Tom, Dick and Harry.

Usije na utapeli wako wa kununua Bitcoin, khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Tumia Bank za Tanzania mfano CRDB etc.

Najua kuna kampuni za nje zinanunua bond za bank kuu bila kuwa na bank account Tanzania sasa wanafanya vipi?

Bank za Tanzania kama CRDB sio nzuri kabisa kwa diaspora wenyewe wanahitaji fees tu! sio wazo zuri kwa diaspora kuwa na account bank za Tanzania kama sio fixed deposit .

Naomba mtusaidie wale tunaotaka kununua bonds nilijaribu ku email lakini sikujibiwa na bank kuu. Email nilipata kwenye zile list za bond auction. Hakuna siri tuweke uwazi hapa tusaidie watu. Hiyo hapo email

info@bot.go.tz

Bond za bank kuu ni muhimu na uhakika kwa diaspora kuliko uwekezaji mwingine maana Tanzania kuna utamaduni wa uongo na ni ngumu kuwekeza kama hauko nyumbani. Kwa sisi tunaotaka kurudi kuwekeza kwenye bonds ni uwekezaji mzuri na wa uhakika
 
Mkuu kwa sisi Diaspora njia rahisi ni hiyo ya kutumia Bank za Tanzania. Itakuwa cheaper kwa wewe/mimi. Nategemea unataka kuweka kiasi cha USD kuanzia 10,000 hadi 100,000 or more kwenye Treasury Bills (TB). Fees ambazo wana-charge ni standard, kama hupendi kutumia Banks inabidi utumie Brokers wa Tanzania ambao wanatambuliwa na Dar Es Salaam Stock Exchange (DST).

BTW Bank zote za Tanzania wanafanya uhamasishaji kwa Disapora kuwekeza nyumbani. Fees za Bank na brokers ni standard na wanatambulika kwenye hiyo biashara.

Uwekezaji mwema.

BTW makampuni ya nje wanatumia Brokers wanaotambulika (Registered in Tanzania).
 
Nashukuru lakini haya ni mawazo zaidi na sio utaratibu uliopo sasa.
Je kama mtu ni Mkenya kwa mfano anataka kununua bond za bank kuu ana nunua vipi? Nao wanahitaji bank accounts?. Na swali la pili broker ni watu au kampuni? Na list ya hizi brokage kampani zinapatikana wapi? Je unaweza kununua bila brokage company? Nasema hivi kwasababu kwenye matoleo ya bank kuu hawajasema kuhusu brokage kabisa

Nashukuru kwa mawazo lakini nahitaji official process kabisa sio mawazo pekee
 
Mkuu ni sawa na kununua shares huku nje. Huwezi kununua shares kiholela lazima utumie Brokers ambao wako registered. Hata unaponunua online (Trading Boards companies for London Stock Exchange or NYSE etc. lazima ID zako ziwe verified kabla ya kufanya trading. Hiyo yote ni kuondoa money laundering. (The source of your income must be checked and verified by Brokers/Banks).

BTW are you trading shares anywhere? Those are just the basics anywhere in the world.
 
Mkuu ni sawa na kununua shares huku nje. Huwezi kununua shares kiholela lazima utumie Brokers ambao wako registered. Hata unaponunua online (Trading Boards companies for London Stock Exchange or NYSE etc. lazima ID zako ziwe verified kabla ya kufanya trading. Hiyo yote ni kuondoa money laundering. (The source of your income must be checked and verified).

BTW are you trading shares anywhere? Those are just the basics anywhere in the world.

Ndiyo maana niliwauliza Bank Kuu ili wanipe mtuririko wa process mfano kama ni brokage basi waniambie link hii hapa ya certified brokage hii sio process complicated lakini wanatakiwa waweze kuwaeleza wakezaji kama mimi full process. Mfano kaka yangu aliniuliza kuhusu kununua stocks nilimpa full process. Lakini Tanzania kuna tatizo la communication hata email hawajibu! Nashukuru lakini kama navyosema natafuta full legal process sio kuunga unga mwenyewe ili kama kuna mapungufu niweze kuyaeleza kwa wahusika ili tusaidie na wwngine
 
Mkuu Bank zote watakupa full process kwa Tanzania kama ni rahisi kwako. Vinginevyo Dar Es Salaam Stock Exchange Ofisini kwao wana Brokers watakusaidia. ( Wapo mtandaoni pia
 
Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) wanaweza kununua Bond/T-bill za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa njia zifuatazo:

1. Kupitia Wakala Walioidhinishwa:

BOT imeidhinisha wakala kadhaa wa kifedha ndani na nje ya nchi kuuza Bond/T-bill kwa niaba yake. Unaweza kupata orodha ya wakala hawa kwenye tovuti ya BOT: https://www.bot.go.tz/.

Wakala hawa watakusaidia kufungua akaunti ya benki ya Tanzania (kama bado huna), kuhamisha fedha zako Tanzania, na kununua Bond/T-bill kwa niaba yako. Wataweza pia kukupa ushauri kuhusu aina bora ya Bond/T-bill kwa mahitaji yako na kukusaidia kufuatilia uwekezaji wako.

2. Moja kwa Moja Kwenye Tovuti ya BOT:

BOT imeanzisha mfumo wa mtandaoni unaowawezesha Watanzania wanaoishi nje ya nchi kununua Bond/T-bill moja kwa moja kwenye tovuti yao. Ili kufanya hivyo, utahitaji kusajili akaunti kwenye tovuti na kufungua akaunti ya benki ya Tanzania. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mchakato huu kwenye tovuti ya BOT: https://www.bot.go.tz/.

Kabla ya kununua Bond/T-bill, hakikisha unasoma kwa makini vigezo na masharti ya uwekezaji.

Weka akili yako juu ya gharama zinazohusiana na ununuzi wa Bond/T-bill, kama vile ada ya wakala na gharama za miamala ya kimataifa.

Hakikisha unashikilia nyaraka zote zinazohusiana na uwekezaji wako, kama vile vyeti vya Bond/T-bill na risiti za malipo.

Faida za Kununua Bond/T-bill za BOT:

Bond/T-bill za BOT ni uwekezaji salama na thabiti unaoungwa mkono na serikali ya Tanzania.

Zinatoa riba ya kuvutia ikilinganishwa na amana za benki za kawaida.

Ni njia nzuri ya kuchangia uchumi wa Tanzania.

Zinaweza kutumika kama dhamana kwa mikopo.
 
Back
Top Bottom