DIASPORA ATUA JIJI JUMLA KWA KISHINDO BILA HODI! MAZITO YAMKUTA! Akesha ubalozi kusak visa ya malkia

DIASPORA ATUA JIJI JUMLA KWA KISHINDO BILA HODI! MAZITO YAMKUTA! Akesha ubalozi kusak visa ya malkia

Leo nimegonga ikulu ya MADIAPORA mbona mtanibana mbavu humuuu!

Bila samahani!

Ujue sisi wa kitaa tumelost, we dont have options, biashara yetu ya Sembe siku hizi wamtight mbayaaa, na wana wanakamatajwe imebidi tu slow down kidogo, manake hali si shwari kabisaaaaa!

So tunakaa tu kuhesabu masaa, n still figuring out tutumie technique gani tutoke kirahisi, shurba hatuiwezi kabisaaa! Hata white collar za kuamka saa kumi na moja, jtatu hadi jmosi afu kusubiri tarehe 30 pia mtihani kwetu! Mipango mikubwa mikubwa afu mingi mingi wakati hata account sina! In short nothin is happening! Tunangojea muujiza wa kutuchomoa from the vicious cycle of poverty!

But me n my fellows kuwa mabwelegeje, not representing, stuck with ourselves doesnt me shit aint happenin in town! It si happenin every day! So until shit finally happens to me, i guess you will have to do with other people stories. And their stuff is good!

Jaribu kwenda shamba (Peshawar, Pakistan) then utarudi na uzito ambao ukiupeleka ubatani (Istanbul) utakuwa umewin game
 
mkuu usimkatishe tamaa bhana, wengine tuna-enjoy reading her stuff!!
simple - ukiboreka si una skip tu uzi wake aisee, naona hadi unajipa jukumu la kutusemea (hapo kwa red)

The good thing abt Lara ni kwamba anaandika kitu kulingana na jukwaa linalohusika kama vipi watembelea kila jukwaa waone thread inayowavutia, so wamuache coz wengine tuna enjoy, I real like her threads sio story ila jinsi anavyo nakshi story!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Am glad to 'see' you Da mkubwa lara1 Tulikumiss na tunakuombea upone haraka. Kuhusu hayo maji ya TB Joshua, ni imani yako mami, usijali. Haya mie na ushamba wangu wa mjini hata sijui hiyo Homa ya Jiji ndo homa ipi ya typhoid, matumbo au ya malaria mwe...... hebu niwe msomaji tu wa hii thread
 
You have inspired me by this story lara 1, thanks.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuletee na fake sticker hehehe, utaiweka kwa mlango devil hakatizi.
Watu wabaya, mnatoa maji fotocopy!
(leo sifanyi umbea nina swaum)
Hahahaaaaaa! Laki wapi, wakati nimegongea kwa mdau, na huyo mdau nae alipewa na mdau mwingine! Yaani cheni ni ndefu!

Japo nashukuru Mungu yananisaidia si uongo! Kuna mdau kaniahidi at the end of this week atayapata yale Original from Nigeria, nayasubiria kwa hamu! Kwa neema za Mungu, atufikishe hio mwisho wa wiki salama tufanikishe
 
kubwa la maadui, so long nt hear u,
pole kwa kusumbuliwa na hongera kwa ahueni
 
Rule numero uno, that MC Hammer shyt is older than Mansa Musa's largesse in Cairo.If you got it like that and want to flaunt your nouveau riche, start a charity already.

Dos, habari za kutafutatafuta visa mstarini mabalozini Dar kikimbizi ili kutoka bongo zimepitwa na wakati, soo 96. You ain't a true player unless you are a world citizen.

Tres, flaunting money in conspicuous consumption is so middle class. Some are still spending money from 58, but you could hardly tell.

Nuff said.
 
Sherrif unafukua makaburi?

Mi nikajua story mpya, kumbe older than Lemutuz!

BBQ tunakula mwaka huu?

Lemutuz nasikia anazindua kitabu hapa mjini na akitoka atakuja kukifanyia promotion kwenye
C-SPAN ili kiende kwenye list ya NY Times bestsellers
 
Back
Top Bottom