Diaspora Hawatoi connection?

Sisi tutaendelea kupokea masanduku yakirudishwa maana ubinafsi ni sumu kuvu.
 
Haina haja mkuu lkn ukwel ndo huo weka moyoni.omba na Mimi nisifanikiwe ktk life kama ww, nitakutafuta hata nikikukosa nitamtafuta mtoto wako nimsaidie

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo ndio mawazo ya Maskini na fukara.
Sasa Kwa Akili hizi hata huyo anayewapa Watu Mafanikio atakupa kweli Mafanikio?

Msaada sio Haki yako, sio lazima.
Haki ni wewe mwenyewe kujisaidia.
Mwenye jukumu la kukusaidia ni Baba na Mama yako, full stop.

Sisi wengine ni hiyari yetu. Kama wewe ulivyo na hiyari ya kusaidia wengine.
Ni ishu ya moyo na upendo tuu.

Alafu MTU anaweza asikusaidie wewe lakini akawa anasaidia wengine, yaani asikupende wewe lakini akawa anawapenda wengine.


Hivyo hizo hasira zako ni hasira za mkizi
 
Au wanangoja uraia pacha ipate kibali ndio watakuwa free na watawekeza Tanzania pia.

By the way kwann serikali haiharakishi kuruhusu uraia pacha? Ingesaidiwa kupunguza dhiki kwa wananchi maana Disspora wengi wanataka kuwekeza hapa nchini.

Ni wakati muafaka wa hilo.
 
Tubadilike tubadilike.
 
Unataka connection zaidi mzee? Nikutafutie chuo au kazi? Hata nikikutafutia hivyo kama huna uthubutu n kazi bure.

Wakenya wanaocheza green card ni mara 5 zaidi ya wabongo sababu ya uthubutu wao.
Brother pamoja na kukaa nje naoa bado una kaushamba fulani wapi nimekwamia unitafutie chuo au kazi ebu jiheshimu toka mwanzo nimekwambia niko hapa kuchangia mada siyo kuomba msaada kwa yeyote kuwa muelewa kwa shule ulienda kusomea ujinga Ndugu.
 
Umeshasema mdg wake marehem. We huwezi kufanya estimation kidogo ukaona mhusika atakuwaje kupitia uliyekuwa ukimfahamu?

Mimi naweza mwangalia mtu nika -estimate ndugu yake atakuwaje na ni kweli huwa haitofautiani sana. Na mategemeo niliyoweka kabla sijamwona.
 
Safi sana Mkuu hapa kwa wenye uhitaji wa kwenda mbele kazi kwao maneno kidogo vitendo zaidi, sasa mtu akitoa maelezo kama haya atakua amepungukiwa na kitu gani maana siyo kila mtu anajua haya mambo ni jambo jema tukishirikishana kama vijana ila wengine wanakaushamba sana.
 
Sasa hapo mchawi keshajulikana.
 
Hapo Diaspora unambebesha lawama za buuure. Wakati hajapatiwa funds za kufanya ivyo. Wenye dhamana na funds ndio wazingaji. Inasikitisha.
 
Hawezi kukusaidia. Atakubabaisha tu, atakusaundisha... blah! blah! Nyingi, mwisho wa siku ataku-block ili usiende ukala mema ya nchi kama yeye. Miafrika sisi ni mijinga sana! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Brother msamehe naona dogo alitatanishwa kdogo si unajua watu wanapitia mengi ila siyo vyema kwenye maisha kumtegemea mtu ni vizuri kupambana wewe kama wewe mpaka hatua ya mwisho.
 
Hata mimi simuelewi elewi bro maneno meengiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,ila za kuhonga chini ya kapeti naambiwa anatuma🀣🀣🀣🀣.Ngoja nampigia simu kumkazia aache kutufanya mimi na bi mkubwa watoto.
 
Brother msamehe naona dogo alitatanishwa kdogo si unajua watu wanapitia mengi ila siyo vyema kwenye maisha kumtegemea mtu ni vizuri kupambana wewe kama wewe mpaka hatua ya mwisho.

Mtegemea cha Ndugu......
Mtu yeyote anayesubiri connection ni ngumu Sana kutoboa.
Mara nyingi connection zinatokeaga tuu ukiwa kwenye Line, yaani ukiwa kwenye harakati.
 
Tushaacha walaumu boss maana tumejua wengi uko mmepelekwa na baba zenu, dada zenu Kaka zenu Yani mmejikuta tu mpo ughaibuni pasipo kujua ndugu zenu wamepambanaje passport umeletewa home, Visa umeletewa home, nauli umepewa uwanja wa ndege umepelekwa uko ughaibuni ukapokelewa Sasa mtatupa connection gani mnajua nini so tumeacha walamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…