😂😂😂
Hayo ndio mawazo ya Maskini na fukara.
Sasa Kwa Akili hizi hata huyo anayewapa Watu Mafanikio atakupa kweli Mafanikio?
Msaada sio Haki yako, sio lazima.
Haki ni wewe mwenyewe kujisaidia.
Mwenye jukumu la kukusaidia ni Baba na Mama yako, full stop.
Sisi wengine ni hiyari yetu. Kama wewe ulivyo na hiyari ya kusaidia wengine.
Ni ishu ya moyo na upendo tuu.
Alafu MTU anaweza asikusaidie wewe lakini akawa anasaidia wengine, yaani asikupende wewe lakini akawa anawapenda wengine.
Hivyo hizo hasira zako ni hasira za mkizi