Diaspora Hawatoi connection?


Upendo ni hiyari, na huwezi mpenda MTU suddenly Kwa maamuzi. Upendo unakuja natural, automatically kutegemeana na mazingira.

Hata Mungu ndivyo anavyofanya kazi. Wapo anaowapenda na wapo anaowachukia.
Hata utende Mema vipi kama Mungu hakupendi hakupendi tuu
 
Mkuu huu uzi unahusu mambo ya connection za kwenda nje.
Pili hakuna kitu kinakuja automatically kama unavyosema japo unajichanganya mara mazingira mara automatically.

Mazingira ni sehemu ya Naturally, au automatically.
Sasa MTU atakupa connection bila kukupenda?
 
WE KUMBE HUNA AKILI!

Nimegundua nilikuwa namuelewesha mtu MPUMBAVU!

SIKU NJEMA WE MPUMBAVU!
 
WE KUMBE HUNA AKILI!

Nimegundua nilikuwa namuelewesha mtu MPUMBAVU!

SIKU NJEMA WE MPUMBAVU!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Malizia Hii ukakojoe ukalale;

Warumi 9:13
Neno: Bibilia Takatifu​

13 Kama Maandiko yasemavyo: β€œNimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia.”

Warumi 4
8Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi.

Wewe hata ujipendekeze Kwa Mungu kama hakupendi ni hakupendi tuu.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanangu kafeli mwezi sasa kunitumia fungu anadai kuna idara wanamkwamisha bila sababu za msingi.
Kuna anko wangu kanunua jumba Dar si chini ya milion 150 wiki mbili zimepita na Yuko huko huko state.


Mambo ni mengi tutafute taarifa. Piga SMU hata Nala waulize policy za kutuma pesa kutoka USA to TZ

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Taikon wa Fasihi, umemaliza kila kitu. Asante
 

Serikali ya TZ bado ipo enzi za ujima.
 
Watanzania lazima tujifunze kuambiana ukweli, kuukubali ukweli hata kama ni mchungu vipi, na kuufanyia kazi ukweli kupata matokeo mazuri.

Sad fact: Nchi za watu hazimtaki kila mtu kutoka huku swekeni kwetu you know! Kwasababu hazimtaki kila mtu lazima ujipangie mpango wa muda mrefu wa kukubaliwa. Kama mpango ni shule/kazi/matembezi lazima ujitahidi kuwa eligible, kama hauko eligible leo jiandae hata kwa miaka mitatu mbele uweze kutimiza vigezo na masharti, baada ya kuvitimiza unaweza kuomba viza mwenyewe kabisa bila hata kuasaidiwa na mtu.

Mnawapraise wakenya na wanaijeria bila kujua kuwa wao kama jamii huwa wanapanga mipango ya muda mrefu kuhamia nchi zilizoendelea, mathalani wanaambizana course za kusoma, experience za kutafuta hata kupata ufaulu mzuri ili kuqualify kwenye scholarships na pia kujiandaa financially.

Sisi sasa hahaha! Ufaulu kizungumkuti, course tulizosoma majanga, vibubu havina mia, experience ya kazi vichekesho, nani atakutaka nchini kwake?
 
Brother pamoja na kukaa nje naoa bado una kaushamba fulani wapi nimekwamia unitafutie chuo au kazi ebu jiheshimu toka mwanzo nimekwambia niko hapa kuchangia mada siyo kuomba msaada kwa yeyote kuwa muelewa kwa shule ulienda kusomea ujinga Ndugu.

If you say so. Umeendelea kusema wabongo hawatoi connection ndo maana namimi nimeendelea kukuuliza hivyo. But we can agree to disagree. Endelea kuchangia mada
 
Well said! Na ni kweli hawapendani hao mbwa πŸ˜‚

Watu wengine marekani hawataki urafiki wala kujuana na wabongo.. ile uswahili wao wa huku wanaupelekega mpaka kule πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu kujihusisha na wabongo wenzako ni uamuzi wa mtu mwenywe. Kila state in the US ina community ya watz na zina watanzania wengi tu, bado kuna DICOTA (Diaspora Council of Tanzanians in America) inayojumuisha watanzania wote wanaoishi in the US na imesheheni watz wengi tu. Huwezi lazimisha kila mtu ajiunge ila kusema watz hawashirikiani ni uongo. Hata bongo sio kila mtu ni CCM au CHADEMA wakati wengine ni wapenzi kindakindaki wa hivyo vyama. Hili ni swala personal ila watu wanashirikiana.
 
Hawezi kukusaidia. Atakubabaisha tu, atakusaundisha... blah! blah! Nyingi, mwisho wa siku ataku-block ili usiende ukala mema ya nchi kama yeye. Miafrika sisi ni mijinga sana! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ

Kwani mimi nilifikaje? Wengine walifikaje?

Mtu hawezi kwenda nje bila mimi au diaspora?

Kama inawezekana kwanini yeye ashindwe?

Una uhakika gani mimi nakula mema ya nchi nje? Sio nyie mnaosema nje ni kugumu?

Tumesaidiana na shuhuda zipo humu humu jukwani, anasaidiwa anayejisaidia na msaada ni hisani sio lazima.
 

Asante sana mkuu. Nai-pin hii comment kwenye uzi 1st page. Mbongo anataka umpe connection leo kesho asepe hata kama hana vigezo.

Wanigeria, wakenya ukiwaambia fanya hivi ili utoboe anafanya. Hiyo ndo connection yenyewe. Ukiambiwa pita hivi jiongeze fanya then rudi tuendelee kujadiliana. Mbongo anataka wewe ndo umfanyie yeye aje tu hata kama hameet the criteria. Smh
 

Whatever makes you sleep at night mkuu.
 
Kiongozi nna swali ukishinda dv ok una passport tayari gharama ni kiasi gani as nauliza IDs etc ni kama dollar ngapi? Msaada.

Mkuu nauli inategemea na muda unaosafiri itakua in the 1000USD range.

Utatumia gharama zingine ndogo tu kwaajili ya process za pale ubalozini, pia utahitaji kuwa na mwenyeji wako US ambaye utatumia address yake ili SSN na GC yenyewe vitumwe kwake.

Ukishinda GC umeula mzee inakua rahisi sana. Reach out for more info.
 

Taikoni unatema madini.
 
Asante sana mkuu! kama utaipin then I'm honored. tuendelee kuelekezana na si kudanganyana, kupeana false hope na kubaby-sitiana πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…