Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Utakuwa na Dosari bwana Robert. Kataa chuki nafsini mwako.
Binafsi nachukia Mashoga na mabasha duniani!... hawa ni mashetani na majini mabaya yanayoonekana kwa macho.
Nachukia wezi na Vibaka kwa sababu hawataki kujishughulisha na kujiongeza, wanataka vya rahisi.
Tanguliza upendo kwa kila mtu maishani, popote uendapo Duniani ipe chuki asilimia chache sana nafsini mwako. Unaepukana na mengi. Chuki ni maradhi ya moyo.
Huwezi kumchukia mtu suddenly kwa maamuzi tu huo ni uzwazwa na shida ya akili.
Upendo ni hiyari, na huwezi mpenda MTU suddenly Kwa maamuzi. Upendo unakuja natural, automatically kutegemeana na mazingira.
Hata Mungu ndivyo anavyofanya kazi. Wapo anaowapenda na wapo anaowachukia.
Hata utende Mema vipi kama Mungu hakupendi hakupendi tuu