Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
😂🤣🤣 Nyie wazee wa clearing and forwarding mnazeekaga na ubishoo wenu,nakumbuka sana vurugu zenu mitaa ya kinondoni,posta uhindini,magomeni na sinza enzi hizo za miaka ya 90,s to 2000,s.Usijali mkuu nikiwa nakaribia kuja nitakucheki through e-mail tuyaweke sawa nije kufanya tour hapo G.A state kabla sijarudi bongo.Sema kweli sisi waturutumbi kwa kiasi flani tuna roho mbaya hasa kwa mtu aliefanikiwa hatua flani hv.🤣 🤣 🤣 🤣 duh nimekua bishoo tena mkuu poa poa, ila mie nipo GA state kiongozi. Karibu sana nikupige shots za ukweli huku. Wabeba mabox hatuna kikorosho ni nyie tu huko waturutumbi hamtuelewi.
Sio tu nyinyi mnaoshi bongo mnataka koneksheni, hata sisi pia tunataka koneksheni za bongo kuja kuwekeza sababu tunabanwa na maswala ya uraia, na lakini tunawaona ni waongowaongo, hamna uaminifu, hata ndugu zetu huko hatuwaamini, kama vile nyinyi mnavyoona hatuna msaada, na sisi pia tunawaona hivyohivyo
Kwa hiyo kila mtu ashinde mechi zake....
Tupo pamoja, waturutumbi wanatupiga sana wallah, haswaa!! kila mtu ashinde mechi zake tu, hamna namna.Sio tu nyinyi mnaoshi bongo mnataka koneksheni, hata sisi pia tunataka koneksheni za bongo kuja kuwekeza sababu tunabanwa na maswala ya uraia, na lakini tunawaona ni waongowaongo, hamna uaminifu, hata ndugu zetu huko hatuwaamini, kama vile nyinyi mnavyoona hatuna msaada, na sisi pia tunawaona hivyohivyo
Kwa hiyo kila mtu ashinde mechi zake....
Wabongo wengi wavivu ...Wabongo wengi tuna roho mbaya sana [emoji16][emoji16] siyo rahisi kama unavyosema mtoa mada.
Hongera kwa kuongeza sifa nyingine ya wabongo.Wabongo wengi wavivu ...
Ahsante , karibuHongera kwa kuongeza sifa nyingine ya wabongo.
Ajira utapata ukifika nchi husika.
Pesa ni yako, diaspora nao wana majukumu yao.
Mahala pa kufikia huwezi kosa anza harakati za visa utapata tu, tumehost watu baki kabisa.
Bufa from what I thought ni kuwa kama mtu hauna scholarships nilizana itaitajika uprove ubalozi kwa unakibunda cha kutosha kuweza kujigharamia masomo na wewe kuishi huko. Or I have missed something?Kwanza inabidi uchague nchi unayotaka kwenda.
Pili, chagua njia unayotaka kutumia kufika huko ambayo itakua rahisi kwako. Kwa vijana njia rahisi zaidi ni shule.
Kama una degree omba kufanya masters. Ni rahisi kupata scholarships kwa masters programs kuliko undergrad.
Kama mpango wako ni kuzamia then huhitaji hata hiyo scholarship, apply chuo, visa na nauli zote ni GHARAMA ZAKO. Ukifika unaingia mtaani. Kazi na malazi utapata tu.
Hakika mkuuDiaspora hakupi visa. Tafuta visa utapa host tu humu aisee watu ni wakarimu sana humu. Mtu anakuhost mpaka anakuonyesha michongo na sio ndugu yako. JF ibarikiwe sana
Kuzamia kwa visa ya shule ni utata mkuu labda uzamie SA. lakini nchi zinazojielewa ni ngumu. Kwamfano USA ukikiuka tu vigezo vya F1Visa(student visa) mfano ukabainika unafanya kazi masaa mengi kuliko unavyostahili au haujareport chuo basi hiyo visa itafutwa na utatolewa kwenye system sasa utaishije? Ni bora kuondoka na tourist au visitor visa kwasababu its easy kubadili B1/B2 (visitor/tourist visa for US) visa kuwa working visa. Lakini ni imposible kubadili study visa kuwa working visa kabla ya kugraduate.Kwanza inabidi uchague nchi unayotaka kwenda.
Pili, chagua njia unayotaka kutumia kufika huko ambayo itakua rahisi kwako. Kwa vijana njia rahisi zaidi ni shule.
Kama una degree omba kufanya masters. Ni rahisi kupata scholarships kwa masters programs kuliko undergrad.
Kama mpango wako ni kuzamia then huhitaji hata hiyo scholarship, apply chuo, visa na nauli zote ni GHARAMA ZAKO. Ukifika unaingia mtaani. Kazi na malazi utapata tu.
Kwahiyo mtu akienda kusoma hatazidisha 20 hrs per week na hata akimaliza kusoma hataweza kufanya kazi masaa mengi Kama raia wa kawaida?Kuzamia kwa visa ya shule ni utata mkuu labda uzamie SA. lakini nchi zinazojielewa ni ngumu. Kwamfano USA ukikiuka tu vigezo vya F1Visa(student visa) mfano ukabainika unafanya kazi masaa mengi kuliko unavyostahili au haujareport chuo basi hiyo visa itafutwa na utatolewa kwenye system sasa utaishije? Ni bora kuondoka na tourist au visitor visa kwasababu its easy kubadili B1/B2 (visitor/tourist visa for US) visa kuwa working visa. Lakini ni imposible kubadili study visa kuwa working visa kabla ya kugraduate.
Acha kupotosha watu kufa na tai kila mahali wanakufa na tai ,inategemea na akili yako tu.Hao wanaotaka connection ya kwenda ughaibuni wangejua jinsi maisha yalivyo kule wangekausha tu,Diaspora wengi wanakufa na tai shingoni.
Akimaliza shule kwa US kuna kitu inaitwa OPT anaaply akiwa mwaka wa mwisho au atafute kazi kabla ya siku 60 muajiri amsaidie kupata working visa then anafanya kazi masaa mengi tu kama raia.Kwahiyo mtu akienda kusoma hatazidisha 20 hrs per week na hata akimaliza kusoma hataweza kufanya kazi masaa mengi Kama raia wa kawaida?
Mbili?? Nchi gani hiyo?? Kuna machimbo watu wanasukuma box mpaka $10000 kwa mwezi..apartment $600 msosi 300$ matumizi ya hapa na pale 1000$ piga hesabu sasa anasave kiasi gani. Kinacho matter ni nguvu zako tu na dedicationUlaya ni akili yako tu. Mfano kubeba box supermaket ni £12- 14/ hour. Overtime baada ya 37.5 hours ni £18- 20; weekend ni double time.
Ukiwa na malengo, uko serious hukosi ku-save hata milioni mbili kwa mwezi.
Ni bora kuchamba wazee USA kuliko kuwa afisa wa TRA bongo. Twende na fact bro kuanzia kipato, quality of living, exposure.Acha kupotosha watu kufa na tai kila mahali wanakufa na tai ,inategemea na akili yako tu.