Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
😂🤣🤣 Nyie wazee wa clearing and forwarding mnazeekaga na ubishoo wenu,nakumbuka sana vurugu zenu mitaa ya kinondoni,posta uhindini,magomeni na sinza enzi hizo za miaka ya 90,s to 2000,s.Usijali mkuu nikiwa nakaribia kuja nitakucheki through e-mail tuyaweke sawa nije kufanya tour hapo G.A state kabla sijarudi bongo.Sema kweli sisi waturutumbi kwa kiasi flani tuna roho mbaya hasa kwa mtu aliefanikiwa hatua flani hv.🤣 🤣 🤣 🤣 duh nimekua bishoo tena mkuu poa poa, ila mie nipo GA state kiongozi. Karibu sana nikupige shots za ukweli huku. Wabeba mabox hatuna kikorosho ni nyie tu huko waturutumbi hamtuelewi.