Diaspora Hawatoi connection?

Diaspora Hawatoi connection?

🤣 🤣 🤣 🤣 duh nimekua bishoo tena mkuu poa poa, ila mie nipo GA state kiongozi. Karibu sana nikupige shots za ukweli huku. Wabeba mabox hatuna kikorosho ni nyie tu huko waturutumbi hamtuelewi.
😂🤣🤣 Nyie wazee wa clearing and forwarding mnazeekaga na ubishoo wenu,nakumbuka sana vurugu zenu mitaa ya kinondoni,posta uhindini,magomeni na sinza enzi hizo za miaka ya 90,s to 2000,s.Usijali mkuu nikiwa nakaribia kuja nitakucheki through e-mail tuyaweke sawa nije kufanya tour hapo G.A state kabla sijarudi bongo.Sema kweli sisi waturutumbi kwa kiasi flani tuna roho mbaya hasa kwa mtu aliefanikiwa hatua flani hv.
 
Sio tu nyinyi mnaoshi bongo mnataka koneksheni, hata sisi pia tunataka koneksheni za bongo kuja kuwekeza sababu tunabanwa na maswala ya uraia, na lakini tunawaona ni waongowaongo, hamna uaminifu, hata ndugu zetu huko hatuwaamini, kama vile nyinyi mnavyoona hatuna msaada, na sisi pia tunawaona hivyohivyo
Kwa hiyo kila mtu ashinde mechi zake....
 
Word.
 
Tupo pamoja, waturutumbi wanatupiga sana wallah, haswaa!! kila mtu ashinde mechi zake tu, hamna namna.
 
Kwanza inabidi uchague nchi unayotaka kwenda.

Pili, chagua njia unayotaka kutumia kufika huko ambayo itakua rahisi kwako. Kwa vijana njia rahisi zaidi ni shule.

Kama una degree omba kufanya masters. Ni rahisi kupata scholarships kwa masters programs kuliko undergrad.

Kama mpango wako ni kuzamia then huhitaji hata hiyo scholarship, apply chuo, visa na nauli zote ni GHARAMA ZAKO. Ukifika unaingia mtaani. Kazi na malazi utapata tu.
Bufa from what I thought ni kuwa kama mtu hauna scholarships nilizana itaitajika uprove ubalozi kwa unakibunda cha kutosha kuweza kujigharamia masomo na wewe kuishi huko. Or I have missed something?
 
Diaspora hakupi visa. Tafuta visa utapa host tu humu aisee watu ni wakarimu sana humu. Mtu anakuhost mpaka anakuonyesha michongo na sio ndugu yako. JF ibarikiwe sana
 
Kwanza inabidi uchague nchi unayotaka kwenda.

Pili, chagua njia unayotaka kutumia kufika huko ambayo itakua rahisi kwako. Kwa vijana njia rahisi zaidi ni shule.

Kama una degree omba kufanya masters. Ni rahisi kupata scholarships kwa masters programs kuliko undergrad.

Kama mpango wako ni kuzamia then huhitaji hata hiyo scholarship, apply chuo, visa na nauli zote ni GHARAMA ZAKO. Ukifika unaingia mtaani. Kazi na malazi utapata tu.
Kuzamia kwa visa ya shule ni utata mkuu labda uzamie SA. lakini nchi zinazojielewa ni ngumu. Kwamfano USA ukikiuka tu vigezo vya F1Visa(student visa) mfano ukabainika unafanya kazi masaa mengi kuliko unavyostahili au haujareport chuo basi hiyo visa itafutwa na utatolewa kwenye system sasa utaishije? Ni bora kuondoka na tourist au visitor visa kwasababu its easy kubadili B1/B2 (visitor/tourist visa for US) visa kuwa working visa. Lakini ni imposible kubadili study visa kuwa working visa kabla ya kugraduate.
 
Kwahiyo mtu akienda kusoma hatazidisha 20 hrs per week na hata akimaliza kusoma hataweza kufanya kazi masaa mengi Kama raia wa kawaida?
 
Akimaliza shule kwa US kuna kitu inaitwa OPT anaaply akiwa mwaka wa mwisho au atafute kazi kabla ya siku 60 muajiri amsaidie kupata working visa then anafanya kazi masaa mengi tu kama raia.
 
Ulaya ni akili yako tu. Mfano kubeba box supermaket ni £12- 14/ hour. Overtime baada ya 37.5 hours ni £18- 20; weekend ni double time.

Ukiwa na malengo, uko serious hukosi ku-save hata milioni mbili kwa mwezi.
Mbili?? Nchi gani hiyo?? Kuna machimbo watu wanasukuma box mpaka $10000 kwa mwezi..apartment $600 msosi 300$ matumizi ya hapa na pale 1000$ piga hesabu sasa anasave kiasi gani. Kinacho matter ni nguvu zako tu na dedication
 
Back
Top Bottom