Diaspora Hawatoi connection?


Case in point ni wewe, ulikwama wapi?

Connection ulitafuta wapi, nchi gani, forum gani, kwa nani?

Kama nauli na visa sio shida kwanini tena unataka connection huoni kwamba hapo mzembe ni wewe?

Mimi nilienda nje bila connection yeyote ila nilipata msaada wakutosha nilipofika I'm forever grateful for that.

Tujadili case yako kama hutojali.
 
Unataka msaada gani exactly maana hayo ndo maswali wengi wenu mnauliza?
Mkuu me nataka kuzamia huko but kwa kutumia kazi au kusoma.
Mtu aniconnect na programm ya bei nafuu yeyote kuanzia certificate mpaka masters coarse nina degree au kazi yeyote lengo sio kusoma wala kufanya kazi ni kuzamia mazima nisirudi hii nchi.
Inshort namna rahisi ya kufika tunaamini mliofika huko mna exposure labda kupitia mwaliko or whatever na wepesi wa gharama za kuingia huko na kuishi huko basi.
 

Aisee unaweza leta receipt ya haya madai yako?
 
Mpaka kumuhifadhi??? huo sasa ndio uboya wenyewe na hio ni spoon feeding. Jiulize sie wengine tuliingia hapa bila mjomba wala shangazi wa kutuhifadhi na bado tulitoboa. Wabongo wavivu wa kufikiri na kimatendo pia.
 
Umecomment vizur ila achana nakutaka kua mwanamke
 
Hao wanaotaka connection ya kwenda ughaibuni wangejua jinsi maisha yalivyo kule wangekausha tu,Diaspora wengi wanakufa na tai shingoni.
Haya mambo ya mamtoni waachieni wa west na wakenya.. wabongo waoga wa maisha wanapenda kitonga sana. Muone sasa huyu alipigwa deportation hataki na wenzake waoshe macho wapambanie maisha yao.
 
Haya mambo ya mamtoni waachieni wa west na wakenya.. wabongo waoga wa maisha wanapenda kitonga sana. Muone sasa huyu alipigwa deportation hataki na wenzake waoshe macho wapambanie maisha yao.
Wanaija na wakenya hawaoni wenge kujilipua majuu, sema wabongo wengi wana kiuoga fulani sawa na mtoto wa mwisho asiyetaka kuondoka kwenda mbali na mama yake. Na hii mentality ya uoga imetulemaza mazima....
 
Tuthibitishie kwa kutoa connection hapa jamii forum
 
Mkuu.tumetofautiana usitaka maisha au msoto uliopitia et watu wengine wapitie .huenda nikakosa visa lkn moyo nitamani na Mimi kufikia ulipofikia ww.kumbuka hata family zetu uchumi umetofautiana.kingine nikwambie mheshim kijana yeyote ambaye anandoto za kufanya maendeleo Fulani hvyo anapokuja kukuomba ushauli usimuone boya kumbuka kuna vijana kama yeye ambao wamekosa mawazo hayo ,wengine now wanaiba,vibaka,wahuni,nk
 

Kama una degree apply kufanya masters. Kuna vyuo huwa hawakuitishi ada hadi ufike for postgrad programs.

Utalipia application fees, visa fees na nauli MWENYEWE. Pia bank statement iwe inasoma, that's another subtopic.

Ukifika huripoti chuoni unaingia mtaani kupambana, sasa hapo ni juu yako ila inawezekana, watu wamefanya hivyi na hadi leo wapo.

In a nutshell ni hivyo. Karibu kwa maelezo zaidi.
 
Asante, hivyo vyuo vinavyotoa hizi post graduate mpaka ufike ndio navihitaji binafsi nimefuatilia poland gharama zao ziko reasonable bank statement ndio kipengele.
Vipi mawakala wa kazi huko na gharama zao!?
 
Kuna hata youth exchange programs.
Una build connection na wageni, hii ndiyo ilinisaidia katika nchi nilizofika mimi.
Kikubwa usiwe na shobo zilizovuka mipaka, lazima ujue kuishi na wenzetu usiishi nao kimatumbi.
Mfano hapa bongo kuna hawa UVIKIUTA wana exchange programs nyingi za mbele. Sema sina mahusiano mazuri na nilishapoteza mawasiliano na director wa pale. Zamani kuna wengine walizitumia na kuzamia miaka yetu ya 2000 mwanzoni. Wapo Chamazi ofisi yao.
 
Kijana wa Leo anapambania kutengeneza kesho yake hvyo kuna mambo ya hapa na pale na ndo kipindi ambacho kijana anahitaji msaada.lkn Leo kijana anaomba connection za kufanya jambo Fulani tena LA maaendeleo lkn anapuuzwa
Lkn mkisikia kija huyohuyo kahalibikiwa lbda kawa panya road,mwizi,kibaka na mhuni mnaanza kusema mambo ambayo hayaeleweki mara hataki frusa mara vijana wa sikuhizi hawataki kazi yani chungu nzima,wakti mwanzo aliomba msaada lkn mkampuuza
 

Word.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…