Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
- Thread starter
- #21
Ndgu acha uongo ,sikweli usemacho .kuna vijana wanatamani kufanya hvyo mmoja wapo ni Mimi .wabongo mpo kukatishana tamaa NASA hampendi MTU aje ambapo nyinyi mpo.nlitafuta sana connection tena hats jf lkn niliishia kukatiswa tamaa.Nina passport visa si tatizo lkn ukwel utabaki palepale hata ukijitetea nikwamba wabongo tuna *OHO MBAYA hasa kusaidiana
Case in point ni wewe, ulikwama wapi?
Connection ulitafuta wapi, nchi gani, forum gani, kwa nani?
Kama nauli na visa sio shida kwanini tena unataka connection huoni kwamba hapo mzembe ni wewe?
Mimi nilienda nje bila connection yeyote ila nilipata msaada wakutosha nilipofika I'm forever grateful for that.
Tujadili case yako kama hutojali.