KIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,370
- 1,511
Ndugu usijichoshe sana kujibishana na mtu jibu tayari linajulikana wabongo wazinguaji kwenye kutoa connection za majuu kama siyo uchoyo basi tunaogopana labda.Green card sio connection ujinga mtupu ilr ni bahati nasibu
Wakenya connection wanapeana ni kuambiana hapa kuna kazi moja mbili tatu kuipata fanya moja mbili tatu au kuna chio kinatoa scholarship huku.ugenini au kusoma bure fanya moja mbili tatu
Green lottery unaita connection shame on you