Ngoja nikujibu Ndio na roho mbaya haswa kwa wapuuzi kama wewe, yaani nikupe connection halafu ufike US nikuhifadhi badala ya wewe ujihifadhi. Wapumbavu kama wewe uwa hawatoboi maana wanategemea wafanyiwe kila kitu, watu kama nyie watu wa majungu na hizi tabia uwa wanasota sana mamtoni na kuishia kurudi bongo. Watu wanacross boarder ya jangwani hadi Libya halafu mtumbwi hadi ulaya wewe unataka kupakatwa hadi upewe hifadhi??? Wapambanaji hawahitaji hifadhi na utawajua tu. Ushauri wa bure nakuomba ujikalie tu bongo, mamtoni hukuwezi utaadhirika halafu uanze kulia lia ughaibuni hapafai kama wenzako.