Mfano ni wa UK. Ndio unaweza kupata 10,000 USD hiyo ni kama £3300 kwa kazi za box tu, driving, nk.Mbili?? Nchi gani hiyo?? Kuna machimbo watu wanasukuma box mpaka $10000 kwa mwezi..apartment $600 msosi 300$ matumizi ya hapa na pale 1000$ piga hesabu sasa anasave kiasi gani. Kinacho matter ni nguvu zako tu na dedication
DIscpline, malengo, kujua uko pale kwa sababu gani.