Diaspora Hawatoi connection?

Diaspora Hawatoi connection?

Mbili?? Nchi gani hiyo?? Kuna machimbo watu wanasukuma box mpaka $10000 kwa mwezi..apartment $600 msosi 300$ matumizi ya hapa na pale 1000$ piga hesabu sasa anasave kiasi gani. Kinacho matter ni nguvu zako tu na dedication
Mfano ni wa UK. Ndio unaweza kupata 10,000 USD hiyo ni kama £3300 kwa kazi za box tu, driving, nk.

DIscpline, malengo, kujua uko pale kwa sababu gani.
 
mbongo hata siku
moja hawezi kupa siri ya mafanikio never
Hakuna siri kivile kwa sasa. Vitu muhimu vyote vinajulikana.

Ila ni ukweli sisi wabongo hatuko serious au kuwa waaminifu kama kwa ndugu, washkaji wetu kama Wanaija. Nchi nyingine.
 
diaspora wa kibongo ni mojawapo wa wanadamu ambao hawana umoja, wanachomana na huwa hawasaidiani. tunawapigania basi tu lakini wayeyushaji sana. mimi nikiwa nje huwa nawakimbia.
 
Sijakuelewa mkuu 10000$ ni zaidi ya euro 9000.
Nazungumzia British Pound Sterling (£). Unaweza kupata £ 3300 - 4000 kwa mwezi ukijituma UK. Hiyo ni sawa na 10000 US dollars.
 
10000$ zaidi ya pound 7500. Anyway nje ni nguvu yako tu. Ukijituma unapiga hela ya professional fresh tu. Truck driver US anapiga mpaka 5000$trip moja ya chemicals sio poa mzee.
 
Hata uber driver, pikipiki (bodaboda) baiskeli ya umeme wa ku-deliver chakula, parcels anapata pesa nzuri tu.
 
Kuzamia kwa visa ya shule ni utata mkuu labda uzamie SA. lakini nchi zinazojielewa ni ngumu. Kwamfano USA ukikiuka tu vigezo vya F1Visa(student visa) mfano ukabainika unafanya kazi masaa mengi kuliko unavyostahili au haujareport chuo basi hiyo visa itafutwa na utatolewa kwenye system sasa utaishije? Ni bora kuondoka na tourist au visitor visa kwasababu its easy kubadili B1/B2 (visitor/tourist visa for US) visa kuwa working visa. Lakini ni imposible kubadili study visa kuwa working visa kabla ya kugraduate.
Akimaliza shule kwa US kuna kitu inaitwa OPT anaaply akiwa mwaka wa mwisho au atafute kazi kabla ya siku 60 muajiri amsaidie kupata working visa then anafanya kazi masaa mengi tu kama raia.

Self contradictory.

Cc: berylyn
 
diaspora wa kibongo ni mojawapo wa wanadamu ambao hawana umoja, wanachomana na huwa hawasaidiani. tunawapigania basi tu lakini wayeyushaji sana. mimi nikiwa nje huwa nawakimbia.

Umoja unataka wakupe chakula Bure au? Unataka umoja gani? Wewe ujitenge afu utake full advantage ya community when you need it, haiwezekani.

Watu walio pamoja tumesaidia in every aspect of life. Kama umejitenga utatengwa. Umoja Haina maana utalishwa au kupewa hela bure utajitafutia mwenyewe. But if kujitenga makes you happy then more power to you.
 
Kuzamia kwa visa ya shule ni utata mkuu labda uzamie SA. lakini nchi zinazojielewa ni ngumu. Kwamfano USA ukikiuka tu vigezo vya F1Visa(student visa) mfano ukabainika unafanya kazi masaa mengi kuliko unavyostahili au haujareport chuo basi hiyo visa itafutwa na utatolewa kwenye system sasa utaishije? Ni bora kuondoka na tourist au visitor visa kwasababu its easy kubadili B1/B2 (visitor/tourist visa for US) visa kuwa working visa. Lakini ni imposible kubadili study visa kuwa working visa kabla ya kugraduate.

Unatumia njia gani kubadili visiting visa kuwa working visa?

Student visa kuwa out of status is not the end of the world utaendelea kuishi vizuri tu so long as hufanyi makosa mengine.
 
Unajua kuna washkaji wengi, wachovu kama mimi niliwapa michongo.

Walipofika USA,UK kwenda college/ University wamelipa nusu tu.

NIkiwaambia tulia piga kazi, baadaye lipia pesa za chuo malizia kozi yako. Wamerudi bongo wako vizuri.
 
Ni bora kuchamba wazee USA kuliko kuwa afisa wa TRA bongo. Twende na fact bro kuanzia kipato, quality of living, exposure.
Kabisa mkuu ata homeless wa mbeli yupo vizuri .
 
Unatumia njia gani kubadili visiting visa kuwa working visa?

Student visa kuwa out of status is not the end of the world utaendelea kuishi vizuri tu so long as hufanyi makosa mengine.
Visitor visa ni kuanzia 6mnth so Tafuta muajiri akudhamini hautakosa kama una mwenyeji..wabongo wapo wenye companies watakusaidia. Ukishindwa tafuta dem uoe
 
Hayo mambo ya kuish bila papers yalishapitwa na wakati kiufupi hutoboi hata nukta kama huna nia ya kusoma achana na student visa. Kwanza utaishi vipi bila karatasi nchi za watu maana kila kona ni kuombwa papers..kazi utalipwa pesa kidogo na hauna pakushtaki kwanza utakosaje msala ngozi nyeusi kila kona wewe ni suspect kiufupi utarudishwa kwenu tu hakuna salia mtume. Kama hutaki kona nyingi tafuta demu uoe.
Visitor visa inabadilika bro
 
Attachments

  • Screenshot_20230710-160931_Chrome.jpg
    Screenshot_20230710-160931_Chrome.jpg
    126.8 KB · Views: 16
Kuzamia kwa visa ya shule ni utata mkuu labda uzamie SA. lakini nchi zinazojielewa ni ngumu. Kwamfano USA ukikiuka tu vigezo vya F1Visa(student visa) mfano ukabainika unafanya kazi masaa mengi kuliko unavyostahili au haujareport chuo basi hiyo visa itafutwa na utatolewa kwenye system sasa utaishije? Ni bora kuondoka na tourist au visitor visa kwasababu its easy kubadili B1/B2 (visitor/tourist visa for US) visa kuwa working visa. Lakini ni imposible kubadili study visa kuwa working visa kabla ya kugraduate.
In case you didn't know watu wanazamia kila leo. Kunajamaa namfahamu yupo kule toka 2004 mpaka leo 2023 hana documents.
 
In case you didn't know watu wanazamia kila leo. Kunajamaa namfahau yupo kule toka 2004 mpaka leo 2023 documents.
Unauhakika hakusoma bro?? Na kama alioa maana ukioa unavunja minyororo yote mzee.
 
Visitor visa ni kuanzia 6mnth so Tafuta muajiri akudhamini hautakosa kama una mwenyeji..wabongo wapo wenye companies watakusaidia. Ukishindwa tafuta dem uoe

With visiting visa huruhusiwi hata kutafuta kazi that by itself ni kosa. Employer inabidi a-prove kakosa mtu mwenye vigezo USA kukusponsor wewe.

Wabongo wengi Wana cleaning companies, group homes na restaurant, no knock on them ila hizo kazi hupewi work authorization.
 
Hayo mambo ya kuish bila papers yalishapitwa na wakati kiufupi hutoboi hata nukta kama huna nia ya kusoma achana na student visa. Kwanza utaishi vipi bila karatasi nchi za watu maana kila kona ni kuombwa papers..kazi utalipwa pesa kidogo na hauna pakushtaki kwanza utakosaje msala ngozi nyeusi kila kona wewe ni suspect kiufupi utarudishwa kwenu tu hakuna salia mtume. Kama hutaki kona nyingi tafuta demu uoe.
Visitor visa inabadilika bro

😅😅😅 Man, you don't know what your talking about. Watu wapo wanapiga box wengine wameingia as recent as last month kiwanja wanapiga box under the table tunawasaisia kila siku afu wewe hapa unasemaje! Carry on
 
Back
Top Bottom