Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo

Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo


Diaspora wengi wa Tz wamechukua uraia wa nchi wanazoishi bila kuukana uraia wa Bongo, hivyo hufanya uwekezaji wao kwa mashaka kidogo, either hapa Bongo au huko wanapoishi. Hii ni kwa sababu nchi wanazoishi zinaruhusu uraia pacha na Hawa wabongo wanataka vyote, uraia wa Bongo na huko waishipo.
Siku Tanzania ikiruhusu uraia pacha ndipo itakapowaona Hawa watu wakifanya mambo makubwa hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom