Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mimi nikiona kijana amejenga gorofa naona safi ila wazee eti Mwijaku ana miaka 40 anapiga kelele ,wakati kawaida .Very true , lakini hii elimu hatupewi shule, tunafundishwa kuhusu fuvu la kwanza kule oduvai na kwamba tulikuwa masokwe na wazungu nwalikuwa binadamu na wao wazungu ndio waligundua haya masokwe yanageuka kuwa watu -waafrika.
Kuna mwalimu aliajiriwa na miaka 23 since then ,alianza kujenga gorofa sasa ana miaka kama 37 kashamaliza mpaka mkopo ,tena aliomba kurudishwa kwao maisha rahisi wilayani huko hana tatizo ..Kahamishwa shule ya jirani kama mwalimu mkuu huko nasikia.