Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Aisee!

Kuna watu wanaridhika jamani.

Tshs. 1.5M ni wastani wa $750.

Watu wanatengeneza zaidi ya $1000
Ndani ya wiki na ni kazi ya kawaida.
Huyu atahitaji Kurogwa kurudi.
Mkuu inategemea pia matumizi ya kila siku na kodi ya pango. Europe waweza kuwa walipa milioni 1 ya kitanzania kwenye kodi ya pango tena chumba kimoja tu. Wakati Tz ni nadra kuwa na kodi ya chumba 1 kwa bei hiyo.
 
Sasa wewe chumba kimoja cha bongo utakilinganisha na chumba kimoja cha Marekani??? Chumba cha Marekani utakuta washing machine,dishwasher, cooker,fridge na mazagazaga yote yanahitajika kuwa kwenye nyumba. Haya chumba cha bongo utakuta nini kama sio kila kitu unajinunulia na bado umeme na maji vya wasiwasi.. Ogopa sana kitu 1st world country kulinganisha na 3rd world country tena one of poorest country in the globe.. napita tuu.
 
Kujinunulia vitu mwenyewe ndiyo kukua kimaisha. Hivyo chumba chenye kila kitu ukifukuzwa si unaviacha? Siku ukikosa kazi unalala kwenye viambaza vya maduka (homeless).
 
Afadhali ya Dar ukikosa nyumba hulali nje unalala hapa.
2e7172d8f8f02e88e094daf867cdf60c.jpg
 
Sasa wewe chumba kimoja cha bongo utakilinganisha na chumba kimoja cha Marekani??? Chumba cha Marekani utakuta washing machine,dishwasher, cooker,fridge na mazagazaga yote yanahitajika kuwa kwenye nyumba. Haya chumba cha bongo utakuta nini kama sio kila kitu unajinunulia na bado umeme na maji vya wasiwasi.. Ogopa sana kitu 1st world country kulinganisha na 3rd world country tena one of poorest country in the globe.. napita tuu.
Mkuu vyumba vya Europe (sijui US, maana sijafika) ni vya kawaida tena hakuna mapambo kihivyo...na hizo facilities ulizotaja hazimo chumbani, zipo jikoni na kwenye basement na vinatumiwa kwa pamoja na watu wote (wapangaji).
Any way, lengo langu lilikuwa kuonesha utofauti wa matumizi ya pesa zilizopigiwa mfano ktk mazingira ya Europe na Tanzania na si kulinganisha ubora wa Europe na Tanzania. Lakini, maisha ya Europe si myepesi kama watu wengi wanavyofikiri.
 
Ndugu ulifikia hostel au hotelini? Ulaya ammenities zilizotajwa ni kawaida sana.
Vyumba kuna studio(bedroom+bathroom+open kitchen+washroom+small sitting area) na kuna room+1 na kuendelea ambazo ni hizo sehemu nilizotaja kuongeza na chumba cha pili.
Studio ya bei rahisi zaidi ulaya kwa mkazi wa kawaida anayefanya kazi na facilities zake kinaweza kuwa euro 500, kwa Tanzania sehemu kama hiyo haipungui dola elfu moja na bado umeme utakatika, maji yatakuwa ya shida,internet haitakuwepo, usafi hautafanywa kwa wakati mazingira ya nyumba, huduma kama fire hubs karibu na jengo hazitakuwepo, n.k.,

Nyumbani kwetu ni kuzuri kwa sababu mbali na mapungufu yote yaliyopo unajisikia kuwa nyumbani.

Lakini tusiwe biased kusema kuna nyumba za ulaya za bei za chini utafananisha na nyumba zetu za bei za chini.

Nyumba za ulaya za kawaida mnoo ( council houses etc) ndio utafananisha na posh areas huku kwetu kama masaki n.k.

Lakini kule wanakokaa watu wa kipato cha kati na kuendelea its not even close.
 
Hivi ungo unafika marekani?
Tukomesheni jamani!
Mpaka akili ikae sawa....tukomesheni!!
 
Mbona LE MUTUZ baada ya kuishi kama nusu karne majuu karudi BONGO na bado anadunda. Na uzuri wake anakubai kuwa alirudi amechoka kiuchumi ukilinganisha na marafiki zake wengi waliokuwa Bongo.Ndio kwanza ameanza maisha upya na on line TV na anatafuta mchumba .Big up LE MUTUZ

LE MUTUZ3.jpg
 
Ndugu ulifikia hostel au hotelini? Ulaya ammenities zilizotajwa ni kawaida sana.
Vyumba kuna studio(bedroom+bathroom+open kitchen+washroom+small sitting area) na kuna room+1 na kuendelea ambazo ni hizo sehemu nilizotaja kuongeza na chumba cha pili.
Studio ya bei rahisi zaidi ulaya kwa mkazi wa kawaida anayefanya kazi na facilities zake kinaweza kuwa euro 500, kwa Tanzania sehemu kama hiyo haipungui dola elfu moja na bado umeme utakatika, maji yatakuwa ya shida,internet haitakuwepo, usafi hautafanywa kwa wakati mazingira ya nyumba, huduma kama fire hubs karibu na jengo hazitakuwepo, n.k.,

Nyumbani kwetu ni kuzuri kwa sababu mbali na mapungufu yote yaliyopo unajisikia kuwa nyumbani.

Lakini tusiwe biased kusema kuna nyumba za ulaya za bei za chini utafananisha na nyumba zetu za bei za chini.

Nyumba za ulaya za kawaida mnoo ( council houses etc) ndio utafananisha na posh areas huku kwetu kama masaki n.k.

Lakini kule wanakokaa watu wa kipato cha kati na kuendelea its not even close.
Mkuu sikufikia hotelini wala hosteli, nilifikia nyumba za kupanga. Kuzungumza kuwa hivyo vitu havimo kwenye chumba kimoja haikufunga kutowepo facilities hizo sehemu unapopanga. Wala haikanushi uwepo wa sampuli zingine za vyumba. Wala hoja si kusema kuna vyumba vya bei rahisi unawezafananisha huduma zake (internet, umeme, fire alarms, washing machines za vyombo na nguo, huduma za usafishaji n.k) na TZ. Lakini kwa kuwa si vyako, siku ukiondoka waviacha kama ulivyovikuta. Ni sawa na kuzungumzia ujenzi wa nyumba za mbao Ulaya, haizuwii uwepo wa nyumba za tofari mfano wa za kuchoma.

Na Europe mtu huishia maisha ya kupanga mpaka anakufa, so ukiwa mjanja waweza kusevu pesa ukajenga jumba zuri huku kwetu 'NAMTUMBO'🙂 ambalo litakuwa lako na samani utazotia zitakuwa zako. Utaishi maisha ya ushirika, maisha ya kusalimiana, kuuza chai n.k.
 
Wewe jamaa una mentality za kizamani sana yaani za zama za ujima; hayo mambo ya kuhama na makolokolo yako ni ya kijima haswa, na yako applied huko 3rd world ambapo mtu hawezi tupa radio, fridge au chochote eti kwa vile ni chake. Mamtoni hivyo vitu vinatupwa tu muda ukiisha new technology unachukua kitu kinginewe. Sasa unataka kila ukihama uhame na mavitu yako?? Na ndio unaona upangaji wa bongo ni bora zaidi.Nalemaga!!
 
🙂🙂🙂 Mkuu si kweli kuwa watu Europe wanatupa kirahisi rahisi vitu vyao (Fridge, radio n.k.) ati kwa kuingia technology mpya! Nakubali wapo wanaotupa lakini si kwa kiwango hicho unacho wakaririsha ambao hawajafika. Matokeo yake watu wanakuwa na fikra eti Ulaya magari yanatupwa tu kama action movies zinavyoonesha! Mbali ya kuwepo Second hand shops, ipo pia mitandao maalumu ya kuuza vitu used vikiwemo friji, nguo, beskeli, simu, redio n.k. moja ya mtandao huo ni huu hapa Sida 2 | Stockholm > För hemmet | Blocket uliopo Sweden.
Mkuu unataka kutupa fridge, kwani lako? Si umelikuta kwenye nyumba ya kupanga kama ilivyosifiwa wakuta kila kitu humo.
 
Mimi sikutupa niligawa friji, jiko, microwave, dishwasher, washer na dryer nikaingiza vitu vipya vya kidijitali. Vitu vya kuokota vipo. Tatizo ni kusafirisha na kuvilipia vitu ulivyookota ili kuviingiza Bongo.

Inategemea ni nyumba ya kupanga au yako.
 
Ndugu wana diaspora,

Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?

Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.

Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.

Tupeane ushauri tafadhali
Unarudi kufanya nini huku? Unataka kujifrustrate na ufe masikini we njoo
 
Back
Top Bottom