Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Mkuu ulaya na states siyo kama bongo kununua nyumba cash au ujenge mwenyewe, au uchukuwe mkopo wa benki wenye riba kubwa ambayo hamna duniani kote!

Ulaya kwa mfano pale uingereza, kama credit history yako ni nzuri na unafanya kazi ambayo una earn £1200 per month kupata mortgage ya nyumba ni rahisi sana. Kwa mwezi rent ni sawa na kulipa mortgage kwa mwezi.

Mbona mkuu, mimi nina nyumba ya vyumba vitatu UK ambayo nilinunua 10years ago kwa £58000. Sasahivi hiyo nyumba nikitaka kuuza sikosi £250000. Na nimenunua nyingine one bedroom flat namempangisha Mnaijeria natengeneza £100 Kwa wiki.

Kwahiyo, kufanikiwa, kunawezekana kwa wabongo kama uko focused na kazi siyo kutuma tuma pesa bongo kwa project zakuibiwa.

Ata siku nikiamua ku resettle nyumbani, at least na income kutoka Europe ya nyumba zangu pamoja na pension. No worries!
mkuu hapo ungecheza vizur na technique za real estate ungekuwa king
kama one week unapiga pound 100 kwa wiki then kwa mwezi ni pound 400. this is the single apartment
then ukiwa na ten apartments ni pound 4000
u need 25 apartments to make 10000 pound per month. hiyo ni pesa nzuri unaweza ishi bila kufanya kazi maisha yako yote na kizazi chako.
wazee wa real estate nadhani mmenisoma
 
Back
Top Bottom