Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Sikuwa nawaza kuwa Diaspora kuwa wapumbavu wengi na wajinga wengi na marofa... (Napenda kutumia maneno haya kwakuwa ni maneno yaliyo wahi kutumiwa na viongozi wa juu wa nchi hii, Marofa, Wajinga, Wapumbavu)

na kwakuwa Mpumbavu hana jina lingine la kumuita tofauti na Mpumbavu na upumbavu wake, mjinga na ujinga wake, rofa na urofa wake...
 
Lofa...
 
Mi naicha nchiii ya jpm naendaa zangu uswisi mpambane na hali zenu wandugu
 
Mkuu, uchumi wa bongo ulikuwa wa ajabu sana! Yaani kuna jamaa yangu yeye alijenga nyumba yenye uwanja mkubwa sana kule kigamboni. Kuna kipindi mtu alimu offer million 200 akakataa. Sasahivi, anajuta akitaka uza ata million 70 hapati mtu.
Kwa mtu unayeishi nje huu ndiyo wakati waku invest lakini with caution. Vinginevyo, bora kununue nyumba zako huko ugaibuni utakuwa na usalama zaidi kiuchumi kuliko huku kwetu. Huku hakueleweki kwa kweli.

Hamna maana kununua mali TZ wakati unaishi states! Kwa mtazamo wangu, bora kuji establish vizuri kule unapoishi na ikiwezekana nunua property zako hata mbili pangisha kuliko kusumbuka na bongo. Wivu wa kwanini huyu anacho anajifanya katoka ulaya ni too much.
Je gharama state na vibali mbongo gani anaviweza
 
Sikuwa nawaza kuwa Diaspora kuwa wapumbavu wengi na wajinga wengi na marofa... (Napenda kutumia maneno haya kwakuwa ni maneno yaliyo wahi kutumiwa na viongozi wa juu wa nchi hii, Marofa, Wajinga, Wapumbavu)

na kwakuwa Mpumbavu hana jina lingine la kumuita tofauti na Mpumbavu na upumbavu wake, mjinga na ujinga wake, rofa na urofa wake...
Kwahiyo shida yako nini mzee wa sifuri?
 
Je gharama state na vibali mbongo gani anaviweza
Wabongo wapo wengi states na wamejifanyia mambo mazuri kiuchumi. Kwa mfano, nina jamaa yangu ni dreva wa malori hivi sasa ana nyumba mbili, kwa sababu alifanya kazi kwa bidii na pesa yake yote aka invest kwenye property, badala kuhangaika na bongo kuishia kuibiwa.
 
Je gharama state na vibali mbongo gani anaviweza
Mkuu ulaya na states siyo kama bongo kununua nyumba cash au ujenge mwenyewe, au uchukuwe mkopo wa benki wenye riba kubwa ambayo hamna duniani kote!

Ulaya kwa mfano pale uingereza, kama credit history yako ni nzuri na unafanya kazi ambayo una earn £1200 per month kupata mortgage ya nyumba ni rahisi sana. Kwa mwezi rent ni sawa na kulipa mortgage kwa mwezi.

Mbona mkuu, mimi nina nyumba ya vyumba vitatu UK ambayo nilinunua 10years ago kwa £58000. Sasahivi hiyo nyumba nikitaka kuuza sikosi £250000. Na nimenunua nyingine one bedroom flat namempangisha Mnaijeria natengeneza £100 Kwa wiki.

Kwahiyo, kufanikiwa, kunawezekana kwa wabongo kama uko focused na kazi siyo kutuma tuma pesa bongo kwa project zakuibiwa.

Ata siku nikiamua ku resettle nyumbani, at least na income kutoka Europe ya nyumba zangu pamoja na pension. No worries!
 
Mkoa gani?
 
you must be genious
 
Back
Top Bottom