Mkuu hata Google angekusaidia kwa hili swali, Iowa ni kwa TrumpMsaada kidogo hivi Iowa ipo ulaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata Google angekusaidia kwa hili swali, Iowa ni kwa TrumpMsaada kidogo hivi Iowa ipo ulaya?
Tufungue biashara.......then uje tuendelezeAsante mkuu,nimejifunza kitu
Hii ni nzuri wazo zuri infactI think tuwe na fund,tuingize hata euro mbili kwa mwezi,iwa ajiri ma mentors watao 'coach' diaspora wakirudi,na wa 'coach' watanzania wenzetu watakapoingia ulaya...............au nawaza kitoto?lol
Usiache tafadhali.kesho ntaleta uzi wa ghetto langu Na picha
Hahaha kwani ulizaliwa huko nje au ulizaliwa Tanzania kisha ukaenda huko nje?! Kama ulienda kutokea Tanzania uliwezaje ku coop na maisha ya huko nje?! Kama uliweza huko nje hata ukirudi hapa utaweza tu.Ndugu wana diaspora,
Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?
Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.
Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.
Tupeane ushauri tafadhali
Miaka ya nyuma, enzi ya mkapa na Kikwete ukitoka ulaya unaambiwa, "ulaya ulaya nini, pesa hiko hapa hapa!"Ndugu wana diaspora,
Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?
Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.
Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.
Tupeane ushauri tafadhali
sifuriMiaka ya nyuma, enzi ya mkapa na Kikwete ukitoka ulaya unaambiwa, "ulaya ulaya nini, pesa hiko hapa hapa!"
Leo wakati wa Magu huoni hizo dharau tena maana mtu wa ulaya ana earn pesa yake kihalali na ya uhakika.
Hapa bongo zile shortcut za rushwa zimepigwa stop na watu wamekuwa na adabu. System aliyoleta mzee Magu ni yakiulaulaya, Kwahiyo watu tuna feel the pinch!
Wabongo wengi tulikuwa malimbukeni kufikiria kwamba nchi inaendeshwa kwa wizi na rusha. Sasa Magu anafanya kazi yake na heshima au kuheshimiana kumerudi kama tuko ulaya na thamani ya pesa inaonekana.
UMEONGEA KITU CHA MAANA SANA MKUUMiaka ya nyuma, enzi ya mkapa na Kikwete ukitoka ulaya unaambiwa, "ulaya ulaya nini, pesa hiko hapa hapa!"
Leo wakati wa Magu huoni hizo dharau tena maana mtu wa ulaya ana earn pesa yake kihalali na ya uhakika.
Hapa bongo zile shortcut za rushwa zimepigwa stop na watu wamekuwa na adabu. System aliyoleta mzee Magu ni yakiulaulaya, Kwahiyo watu tuna feel the pinch!
Wabongo wengi tulikuwa malimbukeni kufikiria kwamba nchi inaendeshwa kwa wizi na rusha. Sasa Magu anafanya kazi yake na heshima au kuheshimiana kumerudi kama tuko ulaya na thamani ya pesa inaonekana.
Mkuu, uchumi wa bongo ulikuwa wa ajabu sana! Yaani kuna jamaa yangu yeye alijenga nyumba yenye uwanja mkubwa sana kule kigamboni. Kuna kipindi mtu alimu offer million 200 akakataa. Sasahivi, anajuta akitaka uza ata million 70 hapati mtu.UMEONGEA KITU CHA MAANA SANA MKUU
Nakushauri usubiri kama mwaka hivi ndio urudi...kiasi magufuli anaendelea kunyoosha watu walio kuwa wamepinda....naamini utapapenda na kiasi patakuwa kama ulipo kwa sasa...kwa sasa kuna mabadiliko mengi mazuri kwanzia airport na kero zilizo kuwepo zimekwisha watu wameanza kujua kama uaminifu ni mtaji na sio ujanja. Nashukuru kuona heshima imerudi sehemu nyingi sana...mambo ya siasa uaachie wasio na kazi za kufanya...ukaishi kama unavyo ishi kwa sasa.Ndugu wana diaspora,
Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?
Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.
Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.
Tupeane ushauri tafadhali
ZeroNakushauri usubiri kama mwaka hivi ndio urudi...kiasi magufuli anaendelea kunyoosha watu walio kuwa wamepinda....naamini utapapenda na kiasi patakuwa kama ulipo kwa sasa...kwa sasa kuna mabadiliko mengi mazuri kwanzia airport na kero zilizo kuwepo zimekwisha watu wameanza kujua kama uaminifu ni mtaji na sio ujanja. Nashukuru kuona heshima imerudi sehemu nyingi sana...mambo ya siasa uaachie wasio na kazi za kufanya...ukaishi kama unavyo ishi kwa sasa.
Zero
Sasa weka na point zako! Umeng'ang'ana na sifuri na zero kwa wachangiaji wenzako! Labda wewe ndio sifuri na zero, wenzako wanadai Magu anainyoosha nchi, tuishi tokana na kipato chetu, tuache wizi, ubadhirifu wa mali, uvivu, uzembe, vyeti feki, kupenda vya mkato n.k. Wewe wasema zero/sifuri, elezea unashauri nini kifanyike?!sifuri
Serikali kuendelea na mpango wa kununua vichwa vya vilivyotelekezwa bandarini japo mmiliki wake bado kitendawiliSasa weka na point zako! Umeng'ang'ana na sifuri na zero kwa wachangiaji wenzako! Labda wewe ndio sifuri na zero, wenzako wanadai Magu anainyoosha nchi, tuishi tokana na kipato chetu, tuache wizi, ubadhirifu wa mali, uvivu, uzembe, vyeti feki, kupenda vya mkato n.k. Wewe wasema zero/sifuri, elezea unashauri nini kifanyike?!