Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Hapa bora kwanza serikali hiruhusu urai wa nchi mbili.Msipojipanga ukija huku utaigiza maisha na savings zitaisha pasipo kujua.Nawapa mfano tu,nchi za ulaya ukiumwa na kwenda hospotali kama unaumwa maua utapimwa vipimo vyote na hata unaweza kuita ambulance ije kukufuata nyumbani,hapa ukiumwa mafua awata taka kujua chanzo kilichosababisha mafua ni nini utapewa piriton.Fursa zipo lakini jipange kweli kweli.
 
Ndugu wana diaspora,

Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?

Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.

Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.

Tupeane ushauri tafadhali
Hahaha kwani ulizaliwa huko nje au ulizaliwa Tanzania kisha ukaenda huko nje?! Kama ulienda kutokea Tanzania uliwezaje ku coop na maisha ya huko nje?! Kama uliweza huko nje hata ukirudi hapa utaweza tu.
Hao jamaa zako waliokufa muda mfupi baada ya kurudi wasikufanye ukaogopa kurudi kwenu. Kufa kupo tu, kwani huko nje watu hawafi kabisa?! Huku wanakufa tangu enzi hizo hujazaliwa na hatujapata dawa ya kuzuia mauti. Kwa ushauri kama huko nje hamfi usirudi huku utakufa tu.
Maisha huku poa kabisa jiandae kisaikolojia tu utazoea, unapaswa upapende kwanza kisha mengine uta rekebisha kadri utakavyoona inafaa.
 
Taarifa kwa wataotaka kutumia nyumba/viwanja kupata Mortgage

‘Submit views’ via Bunge team about amendments
Tanzanians have been told that still they can submit their views on amending the 1999 Land Act.

In Summary

That was said by Lands, Housing and Human Settlements Development minister William Lukuvi here yesterday.
Tumaini Msowoya @TheCitizenTz tmsowoya@tz.nationmedia.com

Dar es Salaam. Tanzanians have been told that still they can submit their views on amending the 1999 Land Act.
That was said by Lands, Housing and Human Settlements Development minister William Lukuvi here yesterday.
He was responding to concerns raised by the Tanganyika Law Society (TLS) and the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) on the amendments.
The two complained that they were not involved in drafting the Bill to amend Chapter 113, Section 45 of the 1999 Land Act.
“Anyone, who has views should submit them to the Parliamentary Committee for Land, Natural Resources and Environment so that they can work on it,” said Mr Lukuvi.
TLS and TPSF poked holes into some sections of the proposed amendments.
TPSF has written a letter to the government urging it to immediately withdraw amendments to Land Act No 4 of 1999 due to lack of thorough participation by all stakeholders.
Sources told The Citizen that the private sector felt that some clauses were inserted into the draft amendments, which if left to pass, they would be detrimental to the economy.
The private sector is concerned with the introduction of sections 120A, 120B and 120C to the Land Act No 4 of 1999 that say bank loans taken by using undeveloped or underdeveloped land as collateral should only be used to develop those specific pieces of land. Failure to do so will result in the revocation of the right of occupancy by the President.
The new sections also say the money obtained from loans whose security is land cannot be spent in investments outside the country and that no foreign bank can be given land as collateral in loans advanced to its customers.

CHANZO :
THE CITIZEN ‘Submit views’ via Bunge team about amendments
 
Ndugu wana diaspora,

Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?

Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.

Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.

Tupeane ushauri tafadhali
Miaka ya nyuma, enzi ya mkapa na Kikwete ukitoka ulaya unaambiwa, "ulaya ulaya nini, pesa hiko hapa hapa!"
Leo wakati wa Magu huoni hizo dharau tena maana mtu wa ulaya ana earn pesa yake kihalali na ya uhakika.

Hapa bongo zile shortcut za rushwa zimepigwa stop na watu wamekuwa na adabu. System aliyoleta mzee Magu ni yakiulaulaya, Kwahiyo watu tuna feel the pinch!

Wabongo wengi tulikuwa malimbukeni kufikiria kwamba nchi inaendeshwa kwa wizi na rusha. Sasa Magu anafanya kazi yake na heshima au kuheshimiana kumerudi kama tuko ulaya na thamani ya pesa inaonekana.
 
sifuri
 
OVA 40 USIRUDI MAANA AKILI IMESHAKOMAA, NINA NDUGU ZANGU WAMEKUFA KABISA AISEE SIO RAHISI,
 
Miaka ya nyuma, enzi ya mkapa na Kikwete ukitoka ulaya unaambiwa, "ulaya ulaya nini, pesa hiko hapa hapa!"
Leo wakati wa Magu huoni hizo dharau tena maana mtu wa ulaya ana earn pesa yake kihalali na ya uhakika.

Hapa bongo zile shortcut za rushwa zimepigwa stop na watu wamekuwa na adabu. System aliyoleta mzee Magu ni yakiulaulaya, Kwahiyo watu tuna feel the pinch!

Wabongo wengi tulikuwa malimbukeni kufikiria kwamba nchi inaendeshwa kwa wizi na rusha. Sasa Magu anafanya kazi yake na heshima au kuheshimiana kumerudi kama tuko ulaya na thamani ya pesa inaonekana.
UMEONGEA KITU CHA MAANA SANA MKUU
 
UMEONGEA KITU CHA MAANA SANA MKUU
Mkuu, uchumi wa bongo ulikuwa wa ajabu sana! Yaani kuna jamaa yangu yeye alijenga nyumba yenye uwanja mkubwa sana kule kigamboni. Kuna kipindi mtu alimu offer million 200 akakataa. Sasahivi, anajuta akitaka uza ata million 70 hapati mtu.
Kwa mtu unayeishi nje huu ndiyo wakati waku invest lakini with caution. Vinginevyo, bora kununue nyumba zako huko ugaibuni utakuwa na usalama zaidi kiuchumi kuliko huku kwetu. Huku hakueleweki kwa kweli.

Hamna maana kununua mali TZ wakati unaishi states! Kwa mtazamo wangu, bora kuji establish vizuri kule unapoishi na ikiwezekana nunua property zako hata mbili pangisha kuliko kusumbuka na bongo. Wivu wa kwanini huyu anacho anajifanya katoka ulaya ni too much.
 
kwa haya yanayoendelea sasa hivi utakwenda kufa tu mkuu.ngoja uone 2025 nani anaingia ndiyo uanze michakato.
 
Ndugu wana diaspora,

Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?

Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.

Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.

Tupeane ushauri tafadhali
Nakushauri usubiri kama mwaka hivi ndio urudi...kiasi magufuli anaendelea kunyoosha watu walio kuwa wamepinda....naamini utapapenda na kiasi patakuwa kama ulipo kwa sasa...kwa sasa kuna mabadiliko mengi mazuri kwanzia airport na kero zilizo kuwepo zimekwisha watu wameanza kujua kama uaminifu ni mtaji na sio ujanja. Nashukuru kuona heshima imerudi sehemu nyingi sana...mambo ya siasa uaachie wasio na kazi za kufanya...ukaishi kama unavyo ishi kwa sasa.
 
Zero
 
Sasa weka na point zako! Umeng'ang'ana na sifuri na zero kwa wachangiaji wenzako! Labda wewe ndio sifuri na zero, wenzako wanadai Magu anainyoosha nchi, tuishi tokana na kipato chetu, tuache wizi, ubadhirifu wa mali, uvivu, uzembe, vyeti feki, kupenda vya mkato n.k. Wewe wasema zero/sifuri, elezea unashauri nini kifanyike?!
 
Back
Top Bottom