Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Tunduma: Mbunge Frank Mwakajoka akamatwa kwa amri ya mkuu wa wilayaSasa weka na point zako! Umeng'ang'ana na sifuri na zero kwa wachangiaji wenzako! Labda wewe ndio sifuri na zero, wenzako wanadai Magu anainyoosha nchi, tuishi tokana na kipato chetu, tuache wizi, ubadhirifu wa mali, uvivu, uzembe, vyeti feki, kupenda vya mkato n.k. Wewe wasema zero/sifuri, elezea unashauri nini kifanyike?!