Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
Wanakulaga na miwani za jua na vingereza vya kulaza[emoji23] na hawana kitu, majinga kweli kweli
 
Kama tayari ameukana uraia wa Tanzania, halafu akaupewa tena kwa siri siri, Uncle Sam akisikia si atachukia? Si utakuwa umevunja oath ya so help me God? Si ni kosa la jinai lying under oath? Si utafungwa? Au tuitinze iwe siri tuweke oath ya siri, na sisi tuseme so help me God? Tuwe a Nation of Liers? God atatuonaje? Huyo huyo huyo God aliyetuvusha Covid, leo tumwombe atuvushe uongo kwa faida ya mke wa tundulissu na dereva wake? Au watoto wa magaidi wa UAMSHO au wa mbowe?
 
Waacheni vijana wetu wa ubalozini, hao ni majasusi wapya wa kimataifa wanapata uzowefu.

Huyo miss 4anzania mbona mikono kama mianzi iliyoathirika kukuwa?

Huyi naenwa kuwawakilisha Watanzania? Mmepotoka kabisa hapo.

Mitoto ya Kitanzania mizuri mizuri ipo huko yenye muonekano wanKitanzania hamkuiona?


Huyo hata tukipigiwa nae kura JF hanipati kabisa Miss JF kwa shepu la Kitanzania.
 
Takbiir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…