SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Diaspora ni watu wetu na tunahitaji mchango wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Esopo!je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Mkitutumia vizuri Diaspora Tanzania nzima itanufaika sana
Unadhani wa kulaumiwa Ni dayaspora?Diaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
Kumbe?Unadhani wa kulaumiwa Ni dayaspora?
Diaspora wetu hao! Halafu mnauliza kwa nini hivi!je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Waende kwa wa Nigeria wakapate courseDiaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
Wanakulaga na miwani za jua na vingereza vya kulaza[emoji23] na hawana kitu, majinga kweli kweliDiaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
Diaspora ndio wanaishi US,?Diaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
Waacheni vijana wetu wa ubalozini, hao ni majasusi wapya wa kimataifa wanapata uzowefu.View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 hapa Ubalozini (Washington DC) hatupati ushirikiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo nn Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
UPDATE:
Tumeanza kumtanguliza Miss Tanzania USA aje aangalie fursa ya sisi kuja kuwekeza nyumbani. Mpeni Ushirikiano.
TakbiirWaacheni vijana wetu wa ubalozini, hao ni majasusi wapya wa kimataifa wanapata uzowefu.
Huyo miss 4anzania mbona mikono kama mianzi iliyoathirika kukuwa?
Huyi naenwa kuwawakilisha Watanzania? Mmepotoka kabisa hapo.
Mitoto ya Kitanzania mizuri mizuri ipo huko yenye muonekano wanKitanzania hamkuiona?
Huyo hata tukipigiwa nae kura JF hanipati kabisa Miss JF kwa shepu la Kitanzania.