Kwa nini mifumo yao iwe ya kitapeli na sio ya Israel kuruhusu ushoga?Yawezekana hata raia wengi walio ndani hawakubaliani na mifumo ya kidini ya kitapeli ila wanakosa tu namna ya kuonesha misimamo yao.
Sijui ni maadili gani unayaongelea Iran wakati ndoa za utotoni zinaruhusiwa na kisamvu cha kopo ni ruksa pia,Lazima wawe hivyo , ukishakaa nchi zenye uhuru wa kufanya mauchafu unayo yataka , sio rahisi upende nchi inayo ongozwa na mifumo ya kimaadili
Chuki za kidini na mihemko tu hiiUshia unaruhusu mume kula kisamvu cha kopo kwa mke wake.
Hakuna nchi isiyo na ucjafu, lakini uchafu wa Iran imevuka viwango vyote. Kuna uchafu gani katika ulimwengu huu, unaozidi mauaji ya binadamu wenzako? Iran ni nchi ya wauaji, ndiyo maana unaona imejaza makundi ya kigaidi Mashariki ya kati nzima, kazi ya hayo makundi ni kuua tu watu.Lazima wawe hivyo , ukishakaa nchi zenye uhuru wa kufanya mauchafu unayo yataka , sio rahisi upende nchi inayo ongozwa na mifumo ya kimaadili
Mmejazwa na dini mkajazika kweli kweliHakuna nchi isiyo na ucjafu, lakini uchafu wa Iran imevuka viwango vyote. Kuna uchafu gani katika ulimwengu huu, unaozidi mauaji ya binadamu wenzako? Iran ni nchi ya wauaji, ndiyo maana unaona imejaza makundi ya kigaidi Mashariki ya kati nzima, kazi ya hayo makundi ni kuua tu watu.
Kwa hakika Ayatollah ni shetani ambaye Wairan wanaishi naye kwaajili ya kuwaangamiza.
Iran hamna ushoga?Kwa nini mifumo yao iwe ya kitapeli na sio ya Israel kuruhusu ushoga?
Sjawahi kuona wakiupaisha kama IsraelIran hamna ushoga?
Mkuu mfumo gani wa maadili Iran insongozwa wakati Ayatollah supreme leaders kwenye kitabu chake ameruhusu wanaume kutomasa vichanga ila wasiwaingilie hadi wakojoe. Maadili yao ni kwa nje tu. Ni wanafiki.Lazima wawe hivyo , ukishakaa nchi zenye uhuru wa kufanya mauchafu unayo yataka , sio rahisi upende nchi inayo ongozwa na mifumo ya kimaadili
Iran na Israel kote kuna Mashoga.Sjawahi kuona wakiupaisha kama Israel
Ujinga unaropokaMkuu mfumo gani wa maadili Iran insongozwa wakati Ayatollah supreme leaders kwenye kitabu chake ameruhusu wanaume kutomasa vichanga ila wasiwaingilie hadi wakojoe. Maadili yao ni kwa nje tu. Ni wanafiki.
achana na diaspora huko mbali sana, wananchi wa ndani wengi zaidi wanaichukia serikali a Iran, hata timu za mpira huwa ni kawaida haziimbi wimbo wa taifa, wiki chache zilizopita internet ilizimwa wakauawa wairan elf 40 kwenye maandamanoUkitaka kujua hao diaspora wa Iran ni wendawazimu ni kwamba wana uchukia utawala uliopo na kuuita wa dikteta hapo hapo wanafagilia monarchy kupambavu kabisa.