Siyo tuwalinde wauaji?
Jenga picture wewe ni mwanachama mtiifu uliyopo serikalini unaeyatimiza majukumu yako kwa weredi kwa maslahi mapana ya Taifa lako.
Unakomaa kufa na kupona kuipambania family yako ,Kuna dogo yupo mwaka wa tatu unajua karibu atakuja kuanza kukupokea baadhi ya majukumu .
Unamtoto wa ujanani ambae amerudi home kusikilizia ratiba za vyuo .
Uko na Mama kaka Dada Brother ambao wao kwa umoja wao ndiyo wanakufanya uione thamani ya Dunia then unakutana na taarifa za watu kuvammia makazi yao nakuwamiminia risasi kibandidu , hebu jenga picture inayokujia kichwani kuhusu namna utakavyomalizana na hao waliyotoboa moyo wako kikatili .
Bro game bado mbichi hii .
Uzuri wa hii game inapigwa ndani nje ,hapo hata kama ulikuwa maji ya bendera nilazima uyatapike tena kwa kinyaa.