Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nani alaumiwe?Mtaa wa Ufipa unafurika wakati wa mvua.
cc: Mrangi
Chadema.Nani alaumiwe?.
Ni kongamanoKwa hiyo chadema inakuja kusherekea Uhuru wa nini, huu huu wa CCM? mara nyingi huwa nasikia mnataka kuikomboa nchi, kumbe tayari nchi ina Uhuru wa kusherekea na Chadema?
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Miaka sitini ya Uhuru mnaanza kuilaumu Chadema?Chadema
Hujui kitu , Shut up !Yaani DIASPORA hao wote wa "dunia" watoshe katika kile "kibiriti" pale Ufipa?!![emoji15][emoji15][emoji1787]
Sawa.... kweli sijui kuwa makao makuu yenu yako K'ndoni π€£Hujui kitu , Shut up !
Umeelewa kilichoandikwa?Kwa hiyo chadema inakuja kusherekea Uhuru wa nini, huu huu wa CCM? mara nyingi huwa nasikia mnataka kuikomboa nchi, kumbe tayari nchi ina Uhuru wa kusherekea na Chadema?
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
mkuu ulizaliwa timamu ukalogwa ukubwani au ulizaliwa hivyo hivyo kimeo ?[emoji3] [emoji3] [emoji3] Wanasaccos wanakuja kuvunja kibubu. Hongereni magaidi
Yaani DIASPORA hao wote wa "dunia" watoshe katika kile "kibiriti" pale Ufipa?!!π³π³π€£