Diaspora waanza kupanda ndege ili kuwahi Kongamano la miaka 60 ya Uhuru lililoandaliwa na CHADEMA

Angalieni mkifika msije mkanyang'anywa pasi zenu za kusafiria pale uhamiaji. Mtaozea hapa mpaka vibarua vyenu huko diaspora vinaota nyasi. Siasa za nchi hii chafu.
 
Wenzako wanakuja kula Xmas wewe unasema kongamano,kwani digital yenu imeishia wapi, mtu atakuwa mwehu eti atumie nauli yake kwa ajili ya kongamano helwa laUfipa hivi unajua USD $ ilivyo ngumu huko majuu.mtu ahenyeke kubeba box halafu eti aje kwenye kongamano,huyo Amsterdam wenu huwa anatembeza bakuli humu kwa ajili kusafiri tu sembuse mbeba box?
 
jamaa washasema huko bongo hartari zaidi kwa emicron mtu anajipeleka tu,ngoja wapigwe kaeni huko kwanza mlipamis sana tutawaambia mda wa kurudi.
tabu yote ya nini
 
Kwa hiyo maadhimisho yanaanza saa ngapi? Makamu mwenyekiti angekuja japo kuwa sehemu ya hili tukio maana mwenyekiti yupo lupango
 
Wenzako wanakuja kula Xmas wewe unasema kongamano,kwani digital yenu imeishia wapi, mtu atakuwa mwehu eti atumie nauli yake kwa ajili ya kongamano helwa laUfipa hivi unajua USD $ ilivyo ngumu huko majuu.mtu ahenyeke kubeba box halafu eti aje kwenye kongamano,huyo Amsterdam wenu huwa anatembeza bakuli humu kwa ajili kusafiri tu sembuse mbeba box?
Karibu sana mkuu
 
Hongera zao
Ila kweli watahimili virungu vya wakoloni weusi PoliCCM?
 
Back
Top Bottom