Diaspora waanza kupanda ndege ili kuwahi Kongamano la miaka 60 ya Uhuru lililoandaliwa na CHADEMA

Hakuna anaeweza kupoteza nauli yake shauri mambo yasiokua na tija
 
Wewe bado sana sio lazima waje physically, wanaweza wote duniani wakashiriki kongamano hilo kwa kutumia mtandao'ZOOM" na wakatosha!!!
Huyo hapo juu ameshakata tiketi....ni tiketi ya mtandao "zoom"?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…