Usinikosee Heshima kunihusisha na CCM ninayoilaani daily.lakini walioenda Mahakamani ni Diaspora , siyo Chadema ; usitusingizie , Bali sisi chadema na nyinyi ccm tutapambana jukwaani kuanzia wiki ijayo kwenye mikutano ya hadhara
Kumfutia uraia mtu aliyezaliwa Tanzania, wazazi wake ni Watanzania, kwa sababu tu huyo mtu anaishi nchi fulani na amepewa uraia wa huko, ni uhayani. Ni sawa uwe umezaliwa Ushirombo, wazazi wako ni wa Ushirimbo. Ukasoma UDSM, ukaajiriwa Dar, ukajenga na nyumba Dar, ukaandikishwa hapo mtaani Dar kama mkazi wa Dar, halafu uende kule Ushirombo uambiwe wewe siyo mtu wa Ushirombo kwa sababu upo kwenye orodha ya wakazi wa Dar.Sioni tatizo mtu kuwa na uraia pacha. ni uhafidhina tu unawasumbua wenye mamlaka
Acha waajadili wenye akili timamu.Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.
Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini
Ambapo sio SAWA haswa kwa nchi zisizo hata na madawati ya kutosha.Kama mpaka Makamba Jr ana watoto raia wa Marekani by birth ni suala la muda tu uraia pacha bongo.
Pengine kwasababu hoja mezani ni uraia pacha, hoja iliyoibuliwa tena kwa nguvu na kiongozi wa Chadema.Chadema inahusu nini tena ?
Umelamba asali hadi unabeua pumba.Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.
Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini
Mbuzi hizi ndio zinaturudisha nyuma sanaLazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.
Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini
Ana uraia kwa jina lile lile?Nyie mambuzi mnakataa ila Waziri wenu mmoja mlimtimua juzi kati ana uraia wa USA. Na wapo wengi tu humo kwenye chama cha mambuzi na kwenye serikalini yenu wana uraia wa nchi za kigeni
Mambuzi ni majinga sana
Mfano wako uliotoa hauendani.Kumfutia uraia mtu aliyezaliwa Tanzania, wazazi wake ni Watanzania, kwa sababu tu huyo mtu anaishi nchi fulani na amepewa uraia wa huko, ni uhayani. Ni sawa uwe umezaliwa Ushirombo, wazazi wako ni wa Ushirimbo. Ukasoma UDSM, ukaajiriwa Dar, ukajenga na nyumba Dar, ukaandikishwa hapo mtaani Dar kama mkazi wa Dar, halafu uende kule Ushirombo uambiwe wewe siyo mtu wa Ushirombo kwa sababu upo kwenye orodha ya wakazi wa Dar.
Kwa mfano , nia hiyo ovu ni kama ipi ?Uraia pacha hauhitajiki kwa sasa. Wanaotaka uraia pacha hawana uzalendo na wana nia ovu dhidi ya nchi yetu. Nadhani kwa sasa serikali ingeruhusu mgombea binafsi.
Mapori yote yaliyojaa nchi hii mtayafanyia nini na kilimo chenu cha jembe la mkono ?Kwangu Mimi naona ni tatizo sn,,
Shida yao kubwa ni kumiliki ardhi ambazo wao sababu wana pesa watazinunuwa Kwa kasi na sisi makapuki kushindwa kumiliki ardhi.
Hili suala la diaspora msilishupalie kabisa.
Diaspora hana uchungu wowote na inchi hii.
Yupo kimslahi zaidi,, ndy maana akaukana utaifa wake wa Tanzania Kwa kipande cha keki huko majuu.
Serikali ishikilie hapo hapo.
No tanzanian no ardhi..
Mkiruhusu hao bado kuna jamaa zetu wa Jirani na wao watajazana hapa Kwa kigezo Cha diaspora mwisho iwe tatizo..
Hao ningewaona ningewaona wana hoja ya maana kama kwanza wangefunguwa kesi kwann mtu wa bara haruhusiwi kuwa na ardhi Zanzibar..
Serikali iweke pini hapo hapo,,au wawe wametumwa na mafisadi kifunguwa kesi kuishitaki serikali Kwa mgongo wa diaspora..
Ni yetu watanzania ,,Mapori yote yaliyojaa nchi hii mtayafanyia nini na kilimo chenu cha jembe la mkono ?
Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.