Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #141
Lengo la TAK, sio kujionesha kwa show off, bali ni the visibility of Tanzanians Diaspora success stories, angalia wenzetu Wakenya mbona wana cha kuonyeshaSijalisoma andiko lote lakini kwa ufupi, sidhani kama kuna diaspora ambae ana akili za kujionesha Tanzania, ili iweje?
Hapa sichunguzi diaspora wamefanya nini nyumbani, no, TAK inaangazia diaspora wetu wanafanya nini visible, ili na sisi tuwe na visibilitySifahamu kama kuna diaspora ambae anaishi vizuri kisheria hajafanya kitu nyumbani.
Naunga mkono uamuzi wao, na hawa hatuwagusi wala kuwatafuta.Kuna diaspora wengi sana, tena sana, ambao wamejiamulia huko nje walipo ndiyo kwao. Tanzania patabaki kuwa asili yake.
Hili linakwenda kuisha, dadio anatoa uraia pacha.Sheria za Tanzania za kuzuwia uraia pacha zimewafanya diaspora wengi wadhulumiwe na ndugu, jamaa na marafiki mpaka ikawakatisha tamaa kufanya lolote la maana Tanzania.
Sad!Kwa wengi, sisemi wote, kama mwenyewe haupo Tanzania, kuwekeza Tanzania imefikia kuwa kama mtu kuchukuwa pesa kuzimwaga shimo la choo.
P