Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Beki wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Dickson Job leo amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini.
Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo, Machi 11, 2026 amesema kuwa upasuaji huo umeenda vizuri kwa beki huyo.
Job aliumia goti katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba, Machi Mosi mwaka huu kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ambao ulimalizika kwa sare tasa.
Beki huyo anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili.
Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo, Machi 11, 2026 amesema kuwa upasuaji huo umeenda vizuri kwa beki huyo.
Beki huyo anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili.