dickson job

Dickson Nickson Job (born 29 December 2000) is a Tanzanian professional footballer who plays as a centre-back for Tanzanian Premier League club Young Africans and the Tanzania national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Afunguka; Hatma ya Dickson Job na Clement Mzize Yanga SC, Wapewa ‘Green Light’ Yanga SC

    Kikosi cha Yanga SC kimepata ingizo la nguvu kuelekea mechi zinazofuata za msimu baada ya beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize kupona kikamilifu na kuruhusiwa kurejea uwanjani. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa idara ya matibabu imewakagua...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dickson Job afanyiwa upasuaji wa goti Afrika Kusini, kukaa nje miezi miwili

    Beki wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Dickson Job leo amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo, Machi 11, 2026 amesema kuwa upasuaji huo umeenda vizuri kwa beki huyo. Job aliumia goti katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba, Machi Mosi...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dickson Job nje zaidi ya miezi miwili kisa majeraha

    Kocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Captain wa Yanga Dickson Job azuiliwa bandarini kwa kukosa hardcopy ya kitambulisho cha NIDA

    Wakuu, Katika tukio lililoamsha hisia za mashabiki wengi wa soka hapa nchini, ni hili la nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Yanga Dickson Job kuzuiliwa bandarini. Kupitia hii video inayosambaa kwa kasi mtandaoni nahodha huyu wa Yanga anaonekana akiwa anafika bandarini na wachezaji wenzake...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Rais anawapa Milioni 10. Anataka Yanga icheze fainali ya CAFCL

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu ya Yanga ijitahidi na kufika fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika. Ameyazungumza hayo akiwa...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Captain ya Yanga Dickson Job akimtambia Captain wa Simba Shomari Kapombe kabla ya kuanza mchezo

    Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo. Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa na waamuzi kuchagua upande wa kuanza, Job alimwambia mwamuzi Arajiga na Kapombe kuwa hakuna haja ya...
  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Dickson Job na Ladack Chasambi wametemwa kwenye kikosi Cha timu ya Taifa

    DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada. MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dickson Job arudishe posho zote alizolipwa kwenye safari ya Afcon Ivory Coast

    Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC. Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa...
  9. carnage21

    JamiiForums Tanzania Big up kwa SAMAKIBA foundation, Wape tabasamu, saidia wazazi na Mwamnyeto foundation.

    BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
Back
Top Bottom