Kwakweli mimi pia imeniuma sana.Niliona jinsi alivyoumia na alilalamika sana kwa refa jinsi yule loemba alivyomuumiza.Pole sana JobKocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.