McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Katika tukio lililoamsha hisia za mashabiki wengi wa soka hapa nchini, ni hili la nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Yanga Dickson Job kuzuiliwa bandarini.
Kupitia hii video inayosambaa kwa kasi mtandaoni nahodha huyu wa Yanga anaonekana akiwa anafika bandarini na wachezaji wenzake lakini baadae alizinguliwa na askari kwa sababu alikosa hardcopy ya kitambulisho chake