Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Yanga bingwa 💚💚💛🖤💪💪
Yanga bingwa 💚💚💛🖤💪💪
Huwa sipendi kujibishana na wapumbavu.Je SGR unapipanda kwenda Dodoma na kuonyesha kitambulisho pia dodoma nchi nyengine? Hivi jamani Kwenye vichwa vyenu mna usaha?
Unazungumza kitu gani? Unajua hapa mpumbavu ni wewe ukienda ZNZ unatakiwa utowe kikoja Kati ya vitambulisho hivi hapa. NIDA, ZAN ID, PASSPORT, LESENi au Kadi ya mpiga Kura. Na ukitaka ZNZ kuja Bara tunatakiwa uonyeshe kitambulisho kimoja Kati ya hivyo. Na pia ukipada SGR kwenda DODOMA unatakiwa uonyeshe kitambulisho kimoja Kati ya hivyo. Sasa povu la Niki Kwa JOB kuambiwa aoneshe vitambulisho wewe ngedere?Huwa sipendi kujibishana na wapumbavu.
Huna kitambulisho cha nida?