GE2025 Gerson Msigwa: Rais anawapa Milioni 10. Anataka Yanga icheze fainali ya CAFCL

GE2025 Gerson Msigwa: Rais anawapa Milioni 10. Anataka Yanga icheze fainali ya CAFCL

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu ya Yanga ijitahidi na kufika fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika.

Ameyazungumza hayo akiwa anawakabidhi zawadi ya goli la mama fedha taslim Milion 10 baada ya ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Wiliete ya Angola.


 
Baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa kukabidhi milioni 10 kwa Yanga kufuatia ushindi wa goli 2 mbele ya Wiliete Benguela,

Nahodha msaidizi wa Yanga Dickson Job amesema wanamshukuru Mama na wanamuahidi ubingwa.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu ya Yanga ijitahidi na kufika fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika.

Ameyazungumza hayo akiwa anawakabidhi zawadi ya goli la mama fedha taslim Milion 10 baada ya ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Wiliete ya Angola.


Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni!
 
Kodi za wavuja jasho wa nchi hii kamwe haziwezi kuwa pesa za mtu binafsi, kiasi cha kuwa na maamuzi ya kuzitapanya vile apendavyo. Katiba mpya ya wananchi inahitajika kuliko wakati mwingine wowote ule.
 
Si kwa ubaya hivi hiki kifungu Cha kugawa Huwa kinatoka kwa mfuko wa nani?
 
Si kwa ubaya hivi hiki kifungu Cha kugawa Huwa kinatoka kwa mfuko wa nani?
Na huu ni wakati wa kampeni za uchaguzi. Hivi hii sio rushwa, kwa faida ya uchaguzi?
Nakumbuka JPM akiwa ni waziri tu, alitoa ahadi ya kujenga daraja wakati wa kampeni ya uchaguzi mdogo kule Igunga, Mahakama ikatafsiri ni RUSHWA!
 
Back
Top Bottom