Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kikosi cha Yanga SC kimepata ingizo la nguvu kuelekea mechi zinazofuata za msimu baada ya beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize kupona kikamilifu na kuruhusiwa kurejea uwanjani.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa idara ya matibabu imewakagua wachezaji hao kwa kina na kujiridhisha kuwa wapo tayari kuanza programu za mazoezi baada ya kuuguza majeraha yaliyoweweka nje kwa muda.