Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu hii imethibitishwa kitaalam mkuu, ama stori ndio "AKODING TU MI"Mfururizo wa mechi hasa kwa nafasi anayocheza lazima mwili upate knock
Msimu ulipopita ulichelewa kuisha ndio maana hata tuzo hazikutoka so hakukua na break, baada ya ligi waka join national team maandalizi ya CHAN ilipo ishaCHAN straight kwenye ligi hapo hapo zika anza qualifications za CCL kidogo wakeenda AFCON kutoka huko CCL makundi huku ligi mchezaji kapunzika saa ngapi! Next season tegemea majeruhi wengi zaidiMkuu hii imethibitishwa kitaalam mkuu, ama stori ndio "AKODING TU MI"
Wameogopa Makelele na Headphones kama studio.ππππKwanini haja pelekwa moi ?
Ilichangia Kapombe kuonekana kashuka kiwangoMsimu ulipopita ulichelewa kuisha ndio maana hata tuzo hazikutoka so hakukua na break, baada ya ligi waka join national team maandalizi ya CHAN ilipo ishaCHAN straight kwenye ligi hapo hapo zika anza qualifications za CCL kidogo wakeenda AFCON kutoka huko CCL makundi huku ligi mchezaji kapunzika saa ngapi! Next season tegemea majeruhi wengi zaidi