Dickson Job arudishe posho zote alizolipwa kwenye safari ya Afcon Ivory Coast

Hawa wachezaji wote ambao timu zao zina mechi za club bingwa wangekataa tu,Taifa Stars ni takataka na kupoteza mda imejaa wanasiasa , wachezaji wanaojielewa hawapendi wanalazimika tu.
 
Maelezo mareefu!! halafu yote ni 🚮 tu.
 
Kumbe Kuna wachezaji wanajielewa
Bravo Job
Hersi waombe tiefuefu wasiende na wachezaji wa Yanga
Mangungu waombe tiefuefu wasiende na wachezaji wa Simba OVER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…