Dickson Maimu na tender ya National ID's

Dickson Maimu na tender ya National ID's

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,906
Hatimaye Dickson Maimu ambaye alikuwa CEO wa RITA na ambaye kwa muda wote yeye na Jack Gotham walikuwa wanajiandaa na mradi huu mkubwa amepewa tender yeye baada ya kupelekwa kwenye mradi huo toka RITA.Kumbukumbu zaonyesha kwamba Maimu na Jack ni wale wale na kwa tabia na uzoefu wa Maimu kuna kila aina ya uozo kwenye hili .Maimu ambaye alikuwa pale RITA alifanikiwa kuweka ukoo mzima katika ofisi za RITA na hata wamejazana hapo leo ameshinda kinyemela tender ikiwa inasemekana kwamba bado ni Jack Gotham behind baada ya kuondolewa kwa magazeti kulia lia lakini JK ame kubali tena tender iende kwa akina Jack kupitia Maimu ambaye sasa inaonyesha kashinda tender .Habari hizi nimezipata muda huu ila naomba mwenye nazo kwa undani na tujue who is behind the whole move on this movie.
 
Duu uuuuuuuuuuuuuu
check PM
 
Dickson Maimu alikuwa Mkurugenzi wa moja za Idara za Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Nafasi
Ya CEO wa RITA ilitangazwa magazetini, wenye sifa waliomba akiwemo huyo Maimu. Vetting kubwa ilifanyika na Maimu akashinda tatizo liko wapi?.

Mradi wa National ID ulipoiva ikaonekana anahitajika mtu mwenye sifa na uwezo wa kusimamia. Mr. Maimu ikaonekana anafaa akaondolewa RITA, akapewa mradi.

Tenda ya National ID ilitangazwa magazetini, makampuni yenye sifa yakaomba akiwemo huyo Gotham. Kwa vile National ID ni mradi nyeti unaogharimu mabilioni ya fedha, lazima mchakato ulikuwa makini. Sasa kama Gotham kashinda kihalali, what is a problem?.

Kama Maimu kapewa ulaji na hana uwezo, hiyo ni issue valid au kama Gotham hana uwezo, yeye ni middle men tuu kama mradi wa Rada na Gulf Stream.

Rada serikali iliambiwa na kelele zimepigwa sana hatimaye Radar imenunuliwa, hata kama saa hizi haifanyi kazi, biashara 'safi' ilifanyika na malipo 'halali' yameshalipwa, tatizo nini?,

Ndege ya rais ni vivyo hivyo, kelele zimepigwa, ndege imenunuliwa, hata kama hairuki, malipo 'halali' yameshalipwa, what is the problem?.

Ndivyo itakavyokuwa kwa mradi wa Vitambulisho vya kitaifa, vitatengenezwa na waTanzania watapata National ID. Malipo 'halali' yatalipwa, where is the problem?,
 
Let discuss this thread objectively, as opposed to the way the original post!

1. The government realized already that there was a mess in institutional setup... while RITA is the deserving organisation to implement the National ID project, ministry of home affairs claim to be the one.

2. However ministry of home affairs ofcourse do not have experience and skills as the RITA have now, in undertaking the project... in this case they have to borrow resources from RITA... hence the CEO for RITA moved to undertake this national ID project.

3. Soon or later the Project I believe will be handled by RITA as it deserves to be there...

All in all I congratulate the government by understanding slowly that if RITA will not manage the National ID project... at least after completion of the setup of the system... then there was no big reason why RITA exists, I'm saying so b'se ... those who register birth should be the same who register dirth....

Here is the the mess... National ID database will say Kasheshe is single... while RITA will have information that Kasheshe is Maried... mambo hayo.... thus why RITA and National ID should be one organisation, one database.... reporting to one ministry...

Let me end here....
 
Nili tahadharisha mapema kuwa hayo ni majungu ya Lunyungu tu, slowly ukweli una surface....
 
Nili tahadharisha mapema kuwa hayo ni majungu ya Lunyungu tu, slowly ukweli una surface....

Wanabodi.... Kwa faida ya wote... nomba mupitie hii tovuti ya RITA muone kazi zake na dira ya etc... Museme... National ID project ilitakiwa iwe kule kwenye madesk ya mambo ya ndani au hapo RITA? Bila kupoteza mada nani mwenye ujuzi wa kufanya hiyo kazi? RITA au Mambo ya Ndani?

Dira na Dhima

Dira ya RITA ni kuwa chombo chenye ufanisi katika utoaji wa huduma za usajili, ufilisi na ufanisi.

Dhima ya RITA ni kusimamia haki kwa usimamizi wenye ufanisi wa kumbukumbu muhimu za maisha ya binadamu, ufilisi na udhamini ili kuchangia katika maendeleo ya taifa.

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) linakusudia katika utoaji wa habari mzuri na thabiti juu ya matukio muhimu maishani, ushirikishwaji wadhamini, utunzaji wa mali chini ya udhamini, za mtu aliyefariki, muflisi, na wachache ili kuwezesha sheria kuchukua mkondo wake.

RITA ilizinduliwa rasmi tarehe 23 Juni 2006 na kuibadili ile iliyoitwa Idara ya Mtawala Mkuu katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Wizara ya Sheria na Mambo ya Katiba.

...soma zaidi

RITA: Registration, Insolvency, Trusteeship Agency
 
wanandugu nina swali moja tu kabla atujaacha njia,RITA iko chini ya wizara ya Katiba na Sheria na NIDA iko wizara ya Mambo ya Ndani,na hususan vitambulisho ni swala la taifa,swali langu ni hili,je Sheria na Katiba ni wizara ya muhungano au la?,asanteni
 
Ofcourse it is just another Mkorogo!!!

Na hii imesababisha na ...kizungu one-2-one translation... wakati RITA inaanzishwa ilikuwa na idara moja ya ufilisi ilikochini ya wizara ya katiba.... macho yote yakawa yanaangalia wizara moja... na kweli kwenye huenda "insolvency" and "trusteeship" ikaangukia huko...

Lakini siamini kwamba birth, dirth, marriages, national ID zinaangukia wizara ya Mambo ya ndani...

Anyway kutokana na maendeleo ya technologia... yabidi basi kuwe na utawala tofauti.....
 
Mnadhani nimekimbia ? I will be right back so no worries guys fanyeni spin mkimaliza namwaga .Ukisema jamaa ana sifa zote leo wakati siku zote amekuwa nyuma na Gotham wanatafuta hii tender nitasgangaa sana .Kwa nini asishinde mtu ambaye kaomba tu na ambaye hakuwa na connection tangia mwanzo ?We cannot be fooled .Niko Butiama nitarudi baadaye online
 
Back
Top Bottom