Did mengi had a prenup? Protect your wealth get prenup.

Mmmh... umri wa jack utata?
 
Sehem kubwa ya urithi atakaopata K-Lyn ni kupitia wale mapacha aliozaa na Mengi, kwani wale ni watoto halali wa marehem hivyo kurithi ni lazima, luckily ni wakiume fungu linakua kubwa.
Gender bias [emoji848]
 
hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
Bangi yako mbaya. Yule mtoto wa Rais mstaafu wa Angola hata Mengi mwenyewe alikua hamfikii.
 
" Mengi binafsi ukute ni Maskini sana "..
Nimeishia hapo sijajua uko chini umeandika utumbo gani.
 
Sehem kubwa ya urithi atakaopata K-Lyn ni kupitia wale mapacha aliozaa na Mengi, kwani wale ni watoto halali wa marehem hivyo kurithi ni lazima, luckily ni wakiume fungu linakua kubwa.
Aisee pole sana hebu subir utaona hicho unachosema kama kipo.
 
mkifunga ndoa mnakuwa ni mwili mmoja cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, mali ni za wote, hata ndoa ifungwe leo kesho mume akafa automaticaly mali zote ni za mke. hicho ndio kinachofanyika kote mali ni za familia.

Hii ni kwa mujibu wako ausio.?
 
Mkuu kisheria haiko hivyo.

Mkitalikiana kimahakama ugawaji wa mali unahusisha zile zilizopatikana baada ya ndoa.

Mali ulizokuwa nazo kabla ya ndoa hazihusishwi.
Tatizo mnachanganya hapa, sheria ya ndoa Ina apply mkitalikiana na si kwa mmojawapo kufa. Baada ya mmoja wa wanandoa kufa sheria ya mirathi ndio inatumika. Na hii pia inategemea kama aliyekufa ameandika wosia au la.
 
Mali ikienda kwa Jackline au watoto au ndugu au yoyote yule haiwezi kumsaidia Marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…