Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

Cancer inaweza kusababishwa...And that is what transpired.....Mwalimu alipelekwa uingereza kwenda kumalizwa...Mkapa and the fellow watalipa tu...Hapa hapa duniani
 
muuaji huuliw yeye mwenyewe kaua kwanini na yy asiuliwe. kwan yy ndo nani?
 
Wale aliowapigania kuingia madarakani kwa sababu kwamba watapiga vita rushwa. Na akapita nchi nzima kwamba wanafaa kuliko wapinzani ndio waliomgeuka baadaye na kummaliza ili watwange nchi bila upinzani kutoka butiama. Lakini waliommaliza walikuwa ni vijana wake mwenyewe ambao aliwaamini na wengine aliwagroom kwa kuwaingiza kwenye system.
 
Nenda mwalimu unatupeperushia stimu kila msimu..njaa kali jabaali.. mabaga ft necha
 
We all know and it is written in the bible that, all human beings and living things are mortality. According to my ability of understandings all death happen to human beings and living things are naturally. God created us him knows everything about us, every one will die in his own way. We human beings don't know about it. You cannot say one has passed away unnaturally just because he or she was killed or poisoned, that's not true. All deaths are equally. Maybe you can change your statement in other terminology so that people can know your meaning!
 
I can also dare to say kwamba by July 1999 mwl was not so weak to justfy your point. I remember to have mate with him during 77 exhibition at Kilwa Road and he looked healthier na ali manage kutembelea mabanda mengi huku akiwa mchangamfu na msikivu wa kiwango cha juu wakati wote wa matembezi yake. Japokuwa yeye hakuwa na tabia ya kula au kunywa kama viongozi wengine walivyokuwa wakifanya baada ya matembezi kwenye mabanda, lakini yeye siku hiyo alikubali kupumzika kwa muda ambapo tuliyokuwa tumeambatana naye, tulikula na kunywa huku akitupigisha story za hapa na pale. So it is not true that July 1999 he was already weak.
Bila kusahau kuwa tarehe 22 April 1999 alihutubia Butiama Wakati wa kuzindua NSSF na akajisifu kuwa atapiga miaka 120 akiwa fiti
 
ni vigumu sana kama akili yako nyepesi kuielewa post hii ila ukweli na kwamba nyerere death was planning by white nation
1.HOW
mwalimu alipandikizwa vimelea vya kansa akiwa ulaya alipokua akiishi baada ya kuomba na mataifa hayo kupitia chakula miaka 3 kabla ya kifo chake
2.Sababu.
Viongozi wa tanzania baada ya mwalimu walikua wanalalamika kua nchi inaongozwa kutoka butiama na sio ikulu .ukweli ni kwamba fikra za mwalimu ziliendela kutawala nchi hata baata ya kustaafu na hii ilikua kikwazo cha unyonyaji
3.mifano
mwalimu hakuruhusu kabisa migodi ichimbwe na wazungu katika moja ya hotuba zake mwalimu aliwahi kutamka kua nitasomesha watu wangu waje wachimbe madini yao wenyewe kwa sasa hatuwezi kuchimba hatuna ujuzi wala mitambo
4.MKAPA kuhusishwa
mkapa alikua anafahamu fika juu ya mpango huu na yeye kua raisi ilikua ni ushindi mkubwa kwa europe na sera zilizolenga kuwanenepesha wao mkapa ndie alikua kibaraka anaeongoza sera hizo
5.mbunge wa chadema agusia arusha.
Katika kipindi cha uchaguzi arusha nilisikia kupitia vyombo vya habari mbunge wa chadem sikumbuki jina lake sababu mimi sio mshabiki wa hizi siasa alimuomba mkapa aeleze mazingira ya kifo cha nyerere hiyo ilikuja baada ya mkapa kudai amtambui kijana huyo kua anatoka katika familia ya mwalimu mkapa hakujibu isipokua aliomba wayamalize nje ya media
unaweza ukapima mwenyewe ni kitu fulani iliyofichika sana

Kingine ni kwamba Mwalimu alipanga kuwa Mkapa atawale kipindi kimoja tu baada ya kuonekana kuwa amekengeuka ki nidhamu. Mwaka 2000 Nyerere angeishawishi CCM kumsimamisha mtu mwingine, maybe Salim. Ikawa ni muhimu kumuondoa kabla
 
Kansa aliyopandikiziwa JKN aliipata through toilet paper south africa! walio-initiate na ni UWT !!! baada ya kupata go ahead ya watu wazito walio nje ya nchi hii, they tried several time to poisson him through food, they failed!

Nyerere alikuwa mwiba kwenye globalization though alikuwa dictator kwenye demokrasia!

Mhh inashangaza nchi ya kifisadi hii.
 
Some would argue that, death is in the nature of all living things, and thus the categorization of "natural" and "unnatural" death is a mere matter of convenience for coroners.

Ukisema ugonjwa uko natural na ajali si natural unasema hivyo kwa kigezo gani? Hata ugonjwa nao unaweza kutoka nje ya mwili kama ajali.

Msingi huu huu ndio unaonifanya nikatae habari ya "kafa kabla ya siku zake". Siku utakayokufa ndiyo siku yako ya kufa, it is not like tumeandikiwa siku fulani tutakufa.

Kama mna data valid ziwekeni, otherwise inakuwa mazungumzo yasiyo kina.

System ya kufa ni natural.nilivyoelewa je kafa katika mapenzi ya mungu au kaharakishwa kabla ya wakati wake though kila mtu amewekewa miaka ya kuishi na muumba sasa kwa kwamana ya mtoa thread kwamba natural ni hile mungu amepanga kua ukifika umri wa flan may be 90 above kila kitu kinaanza kufail utaishia hapo unnatural ni hile umri bado upo active system zote za mwil bado zina nguv mtu ana msababishia mtu kifo cha namna hiyo.
 
Katka wachangiaji wooote hakika mkuu wewe nimekuelewa zaid
Mwalimu Nyerere alianza kusigana na utawala wa Mkapa mara tu ya kuwepo kwa hoja ya kuiuza NBC kwa makaburu.Ilivyotokea ni kwamba Mwalimu aliwaita Gavana wa BOT (wakati huo akiwa Idris Rashid),Waziri wa Fedha na wasaidizi wengine wa mambo ya Finance ili kupata ukweli wa suala hilo.Hawakuudhuria mwito huo ndipo alipomtuma msaidizi wake Bw.Batao kumwita Mkurugenzi wa NBC wakati huo Bw. Kimori kwenda Msasani na wakati wa kikao hicho,Mkurugenzi huyo alimweleza Mwalimu ni jinsi gani serikali ingefanya makosa makubwa kuiuza NBC ingali kwamba serikali inapokuwa na uhaba wa fedha za kuendesha mambo katika idara nyeti kama Jeshi na Usalama wa Taifa ilikuwa inachukuwa fedha toka katika Benki hii.Alimweleza mengi kiasi kwamba Mwalimu alishusha pumzi na kusema "kumbe nimewasomesha wataalamu wazuri hapa eeh!".Mwalimu akamuaga mkurugenzi huyu na kumshukuru kwa taarifa hiyo.Baada ya hapo Mwalimu aliomba kuonana na Rais Mkapa kule Msasani baada ya kumaliza shughuli zake ikulu.Mkapa alipelekewa taarifa hiyo na kujibu kwa kifupi tu "Ok...nimesikia"Mkapa hakutimiza hilo haraka ila alisubiri kwa siku moja.siku aliyokwenda msasani jioni alikuwa amelewa na hata ilikuwa ni kazi ya ziada kushuka kwenye gari kwani mpambe wake Kanali George simule na walinzi walipata kibarua cha kuhakikisha kwamba hakuna aibu ingetokea.Alifika sitting room na kukaa.Mwalimu aliposhuka toka katika chumba chake cha kulala aliiona hali ile ya Mkapa ilivyo.Hakusubiri kitu na hakuongea chochote na alirudi alikotoka.Hali hii ilifanya waliokuwepo kupata wakati mgumu licha ya kwamba Mama Maria kujaribu kumshawishi mumewe kuzungumza na ugeni ule...Mwalimu aligoma.
Asubuhi ya siku iliyofuata aliomba aonane na Kadinari Pengo.Mwalimu alikuwa akiheshimu sana viongozi wa dini hivyo alikwenda yeye ofisini kwa Pengo na hakutaka kadinari aende nyumbani kwake.Alpoingia ofisini kwa kadinari,kwa jinsi Mwalimu alivyokuwa na kawaida ya tabasamu na ucheshi wa hapa na pale,siku hiyo hata Pengo alishangaa kwa jinsi hali ya Mzee ilivyokuwa.Ilibidi kuwaomba radhi watu wengine waliokuwa mle ofisini kutoka na Mwalimu kubakia na mlinzi mmoja na kadinari namsaidizi wake mmoja.
mwalimu alianza kumweleza Pengo nia ya ujio wake na mambo aliyoelezwa na jitihada zake za kutaka kuzungumza na Mkapa juu ya suala hilo.Alipofika hapo Mwalimu alishindwa kuvumilia na kutoa machozi.."yaani leo Ben ananijia mimi amelewa??..mimi?" akamtazama Msaidizi wa Pengo huku macho yamejaa machoziakamwambia "Kamuulizeni nimemkosea nini Mimi kunifanyia hivyo?".Kwa jibu fupi lakini zito na huku amesononeka Pengo akasema "Mwalimu...nitalifanya hilo personally"...Baada ya hapo walipoona hali ya Mwalimu imekuwa ya kawaida baada ya kulitoa dukuduku lake,Mwalimu alimuomba radhi Pengo kwa hali ile na kuomba ruhusa kuondoka.
Ujumbe ulimfikia Mkapa kupitia kwa Pengo na hili alilifanya kama kiongozi wa kiroho.lakini bado katika hali ya kushangaza Mkapa hakwenda tena nyumbani kwa Mwalimu kumuona.
Wiki hiyo hiyo mwalimu baada ya kutoka kanisani kanisa la St Peter Oysterbay alikwenda nyumbani kwake Msasani na baadya ya kifungua kinywa alimwambia msaidizi wake kuwa anahitaji kwenda ikulu mara moja....
JE BAADA YA KUFIKA IKULU NINI KILIENDELEA?...KWA NINI MWALIMU ALIENDA BILA MIADI NA OFISI ILE? NA KWA NINI ALIENDA BILA KING'ORA NA GARI LA WALINZI TU? TUWE NA SUBIRA...
 
Kingine ni kwamba Mwalimu alipanga kuwa Mkapa atawale kipindi kimoja tu baada ya kuonekana kuwa amekengeuka ki nidhamu. Mwaka 2000 Nyerere angeishawishi CCM kumsimamisha mtu mwingine, maybe Salim. Ikawa ni muhimu kumuondoa kabla

Bila kuiondoa CCM madarakani ukweli kuhusu kifo cha Nyerere hautajulikana milele.
Kama aliuawa basi njama za kumuua zilifanywa na haya majambazi ya CCM.
Ni kweli kabisa kama mwalimu angekua hai Mkapa asingetawala vipindi viwili.

Tunataka utawala ujao mwaka huu utuambie kuwa ni nani aliyemuua Sokoine,Karume,Kolimba,Malima,Nyerere,Gen.Kombe,Chacha Wangwe,Dr.Mvungi,Amina Chifupa,Dr.Mgimwa na wengine.

Sio vizuri kushabikia chama na utawala unaomwaga damu zisizo na hatia.
Na pia ni dhambi kwa Mungu kumwaga damu ya watu wema

Mtu akikosa kwa uhaini ni vema ahukumiwe hata kama ni kunyongwa lakini tujue anacholalamikiwa kuliko haya mauaji ya kujificha tena yenye agenda binafsi za kujilimbikizia madaraka na mali za magendo.
 
Nimekuelewa vizuri...nimejifunza kitu kutoka kwako. Ahsante kwa elimu uliyoitoa....

Back
Top Bottom