Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

what i remember,is nilikuwa south africa wakati mwalimu anakufa, na is truth, nilishuhudia pat ya watu kujipongeza mahala kwa kugongeana glas mbaya, nilishangaa sana baadaye ndiyo nikajagutuka ohooooooooo,mmojawapa ni yule jamaa anayesimamia shughuli za uchimbaji wa tanzanite ya wasouthafrika kule arusha

funguka mkuu ni huyu ninaye mjua mm au mwingne,?njoo kwa pm mkuu.,daa inatisha
 
Heshima mbele sana mkuu Jasusi. Najua wajua kwamba najua unajua mengi kuhusu mwalimu, maradhi hadi kifo chake. Binadamu wachache wanakubali kuondokewa na ndugu, rafiki kwa njia ya kifo na kukubali kifo kilikuwa ni natural, lazima itatafutwa sababu ya kifo, lazima atatafutwa mzembe aliyesababisha uhai wa marehemu kukatishwa.

Kwa mfano, hata pale binadamu anapokuwa na ndugu anayesumbuliwa na VVU na hatimaye UKIMWI, bado sababu itatafutwa, wengine watahusisha na uchawi au kupewa sumu kwa wivu wa maendeleo. Natural death ni kama vile iko kwa ajili ya wateule wachache. Wateule wengi maisha yao yangeweza kuokolewa isipokuwa ni kwa sababu ya mambo kadha wa kadha.

Migogoro mingi ya kifamilia/kirafiki/kimahusiano huibuka wakati wa ugonjwa na mingine kukuzwa au kuzimwa baada ya kifo.

RIP Julius na wafu wengine.

Kwa upungufu kwa kinga mwilini, pengine daktari wake aliona atibiwe kwenye general hospital.

mbona kama una taka ku jastfay kifo cha mwalimu kutokana na maelezo ya ndugu hapo ju,kwa hadhi ya mwalimu hakupaswa kutibiwa hospital ya kawaida kama hyo tena sio prt room,nashawishka kuamin kile wadau wanachosema mwalimu aliuwawa na manyang'au kina mkapa na kampan yake ili watafune nchi kwa uhuru hasa kwa kua mwalimu alipinga sana ubinafsishaji wa mali asili
 
JULIUS NYERERE, hakufa kifo cha kawaida.Aliuawa kwa sumu iliyopandikizwa ndani ya mwili wake.Siri hiyo anaijua Daktari wake na baadhi ya maofisa na wasaidizi wake.Alilazimishwa kwenda "kuangaliwa" afya yake na mara baada ya kutoka katika hospitali kwa "checking" hiyo na kuwasili alipofikia Guest wing London alianza kujisikia vibaya na hatimaye alianguka ghafla na kudakwa na mlinzi wake aitwaye Mkanzabi.Ndipo yalipofanyika mawasiliano ya haraka ili kumuwahisha hospitali.cha ajabu wakati anaondoka Tanzania, Mkapa alikuwa akijiandaa kwenda katika mkutano mmoja huko ulaya.alipozidiwa Mwalimu,Mkapa alipitia london kutokea Zurich,lakini kwa mujibu wa madai yake huyu bwana alidai hakuweza kumwona kwa karibu,ila alimwona kwa mbaaali.Hii inadhihirisha wazi kwamba alienda kumsanifu mzee huyo wa miaka 77 akiwa kitandani hoi.Aliporudi Tanzania alikutana na waandishi wa habari na kudai ikulu itakuwa ikitoa taarifa za maendeleo ya Mwalimu huku akisema kwa maneno ya mafumbo kuwa "Mwalimu is recovering slowly"(Dying slowly!).Wakaona mtu wa kumtuma kudhibiti yanayoendelea London ni Kingunge Ngombale Mwiru.Mzee huyu alipewa cheo kuwa mshauri wa Mkapa kuhusu siasa na mbunge wa kuteuliwa.
Mwalimu alifariki dunia na kuzikwa kwao butiama.
Mwaka mmoja baadaye (2000),mkapa alienda Butiama kuhani katika kaburi la Mwalimu.Yaliyotokea pale ni mauza uza ya ajabu ikiwa ni pamoja na kuvunjika kimaajabu kwa msalaba katika kaburi la Mwalimu!!.Yaliandikwa katika magazeti,lakini yalifichwa na kufunikwa.Toka Musoma,Mkapa alienda Mwanza na pale mnakumbuka palitokea ajali mbaya ya basi lililoacha njia na likawa linafuata gari alilopanda Mkapa.Walikufa watu wengi!
Miezi kadhaa baadaye Mkapa alianza kuugua maradhi yaliyomfanya akae nje ya Tanzania kwa muda wa miezi kadhaa kabla ya kurudi akitembelea magongo!!
Ikumbukwe kwamba baada tu ya Nkapa kwenda ulaya kwa matibabu ,nyumba ya Rais ikulu iliungua.Majanga haya ni matokeo ya aliyoyasimamia Nkapa juu ya kifo cha Mwalimu.
Yapo mengi wanayojua watanzania ila kwa hili tuishie hapa kwanza.

mkuu mwili umesisimka
 
Saluti! Kwako mzee huo ndio ukweli lakini ikumbukwe dawa ya moto ni moto
 
dah Mkapa aisee Siasa hizi
 
what i remember,is nilikuwa south africa wakati mwalimu anakufa, na is truth, nilishuhudia pat ya watu kujipongeza mahala kwa kugongeana glas mbaya, nilishangaa sana baadaye ndiyo nikajagutuka ohooooooooo,mmojawapa ni yule jamaa anayesimamia shughuli za uchimbaji wa tanzanite ya wasouthafrika kule arusha

Aiseeeee

Behind the scene...
 
Nakumbuka kuwa family ya Julius inaujua ukweli! Vicent nyerere siku moja alisema japo si kwa kauli ya moja kwa moja kwamba kama mkapa ataendelea basi yeye Vicent angesema ukweli. Akatamatisha kwa kusema kwamba Mwalimu aliondoka mzima anatembea kwa miguu, wakamrudisha amelala kwenye jeneza.
Ninachoweza kusema nikwamba Ushahidi mmoja umebaki. Auaye kwa upanga ataondolewa kwa makali kuwili.
BN kama alifanya hivyo ataondoka vibaya saaana!
 
Bila kujali mleta hoja aliingia lini, naomba niwakumbushe habari moja iliyoandikwa ktk ukurusa wa mbele wa gazeti la Rai linalomilikiwa na fisadi rostam soon miaka ya 2006 mwanzoni hivi. Gazeti lilimlaumu waziri wa afya wa kati huo- Dr mwakyusa (mwl's personal doctor) kwa kusimamia wizara vibaya. Kulikuwa na mashindano ya nani apewe tenda kubwa ya kusambaza madawa na vipimo vya ukimwi nchi nzima. Vita hivi viliendelea kwa muda mrefu kiasi likiongozwa na magazeti ya rostam kwamba wizara inagawa tenda kwa upendeleo. Shutuma kwa katibu mkuu na waziri. Lakini cha kushangaza baada ya wiki kadhaa gazeti lilikuja na maelezo ya juu juu kuwa waziri mwenyewe kwanza analaumiwa kwa kifo cha Mwl Nyerere kwani yeye aliamua vibaya na mwalimu akafa. Mimi si daktari. Ila watu wakubwa like marais wanakuwa na madaktari watano wakiwa hospitalini hoi. Kama kuna uamuzi wenye option mbili na wao wakigawanyika kimtazamo huwa wanapiga kura. Gazeti linasema dakika za mwisho hawajamaa madaktari waligawanyika kuhusu dawa ya kumpa. Kura zikapigwa. Madaktari 3 akiwepo mwakyusa wakapiga kura upande mojawapo agaist wawili. Ushauri wa hao watatu ukamfanya mwl afe. MJADALA HUU UMENIKUMBUSHA HABARI HIYO ILIYONISUMBUA SANA. Thx

Aiseeeee

Asante kwa taarifa!
 
Nakumbuka kuwa family ya Julius inaujua ukweli! Vicent nyerere siku moja alisema japo si kwa kauli ya moja kwa moja kwamba kama mkapa ataendelea basi yeye Vicent angesema ukweli. Akatamatisha kwa kusema kwamba Mwalimu aliondoka mzima anatembea kwa miguu, wakamrudisha amelala kwenye jeneza.
Ninachoweza kusema nikwamba Ushahidi mmoja umebaki. Auaye kwa upanga ataondolewa kwa makali kuwili.
BN kama alifanya hivyo ataondoka vibaya saaana!

Mungu ibariki Tanzania Mungu bariki Africa!
 
Ironically, aliyeanzisha uzi huu baada ya kuuweka hewani akaingia mitini. Hajaonekana tena JF hadi leo. What happened to this chap!
 
Kwa mambo yote yaliyotokea baada ya kutangazwa kufa kwa Mwl. Nyerere,some one must be asking if t was a natural death. I am even asking myself if so was it...
 
I have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"

WHETHER NATURAL OR oTHERWISE. THE TRUTH IS, MWALIMU IS NO MORE.

THOUGH SUPRISINGLY HE'S STILL IN STATE HOUSE PAY ROLL!

ONLY IN TZ!
 
Back
Top Bottom