Did Mwalimu die a natural death?

Cancer inaweza kusababishwa...And that is what transpired.....Mwalimu alipelekwa uingereza kwenda kumalizwa...Mkapa and the fellow watalipa tu...Hapa hapa duniani
 
muuaji huuliw yeye mwenyewe kaua kwanini na yy asiuliwe. kwan yy ndo nani?
 
Wale aliowapigania kuingia madarakani kwa sababu kwamba watapiga vita rushwa. Na akapita nchi nzima kwamba wanafaa kuliko wapinzani ndio waliomgeuka baadaye na kummaliza ili watwange nchi bila upinzani kutoka butiama. Lakini waliommaliza walikuwa ni vijana wake mwenyewe ambao aliwaamini na wengine aliwagroom kwa kuwaingiza kwenye system.
 
Nenda mwalimu unatupeperushia stimu kila msimu..njaa kali jabaali.. mabaga ft necha
 
We all know and it is written in the bible that, all human beings and living things are mortality. According to my ability of understandings all death happen to human beings and living things are naturally. God created us him knows everything about us, every one will die in his own way. We human beings don't know about it. You cannot say one has passed away unnaturally just because he or she was killed or poisoned, that's not true. All deaths are equally. Maybe you can change your statement in other terminology so that people can know your meaning!
 
Bila kusahau kuwa tarehe 22 April 1999 alihutubia Butiama Wakati wa kuzindua NSSF na akajisifu kuwa atapiga miaka 120 akiwa fiti
 

Kingine ni kwamba Mwalimu alipanga kuwa Mkapa atawale kipindi kimoja tu baada ya kuonekana kuwa amekengeuka ki nidhamu. Mwaka 2000 Nyerere angeishawishi CCM kumsimamisha mtu mwingine, maybe Salim. Ikawa ni muhimu kumuondoa kabla
 

Mhh inashangaza nchi ya kifisadi hii.
 

System ya kufa ni natural.nilivyoelewa je kafa katika mapenzi ya mungu au kaharakishwa kabla ya wakati wake though kila mtu amewekewa miaka ya kuishi na muumba sasa kwa kwamana ya mtoa thread kwamba natural ni hile mungu amepanga kua ukifika umri wa flan may be 90 above kila kitu kinaanza kufail utaishia hapo unnatural ni hile umri bado upo active system zote za mwil bado zina nguv mtu ana msababishia mtu kifo cha namna hiyo.
 
Katka wachangiaji wooote hakika mkuu wewe nimekuelewa zaid
 
Kingine ni kwamba Mwalimu alipanga kuwa Mkapa atawale kipindi kimoja tu baada ya kuonekana kuwa amekengeuka ki nidhamu. Mwaka 2000 Nyerere angeishawishi CCM kumsimamisha mtu mwingine, maybe Salim. Ikawa ni muhimu kumuondoa kabla




Bila kuiondoa CCM madarakani ukweli kuhusu kifo cha Nyerere hautajulikana milele.
Kama aliuawa basi njama za kumuua zilifanywa na haya majambazi ya CCM.
Ni kweli kabisa kama mwalimu angekua hai Mkapa asingetawala vipindi viwili.

Tunataka utawala ujao mwaka huu utuambie kuwa ni nani aliyemuua Sokoine,Karume,Kolimba,Malima,Nyerere,Gen.Kombe,Chacha Wangwe,Dr.Mvungi,Amina Chifupa,Dr.Mgimwa na wengine.

Sio vizuri kushabikia chama na utawala unaomwaga damu zisizo na hatia.
Na pia ni dhambi kwa Mungu kumwaga damu ya watu wema

Mtu akikosa kwa uhaini ni vema ahukumiwe hata kama ni kunyongwa lakini tujue anacholalamikiwa kuliko haya mauaji ya kujificha tena yenye agenda binafsi za kujilimbikizia madaraka na mali za magendo.
 
Nimekuelewa vizuri...nimejifunza kitu kutoka kwako. Ahsante kwa elimu uliyoitoa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…