Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

mpaka leo kichwa bado kina load na sina jibu kabisa!!!!
 
Labda itasaidia kupata jawabu kama tutapata sababu zilizopelekea familia ya Mwalimu kumpiga marufuku daktari wake Mtanzania asimsogelee katika wiki za mwisho za uhai wake pale London. Pili, ni kwa nini serikali iliamua kumpeleka London wakati walijua kuwa Uingereza haikuwa na uwezo wakati huo kutibu leukemia, kama kweli leukemia ndio uliomsumbua Mwalimu? Kwa nini daktari wake hakushauri apelekwe New York kwa yule daktari aliyempima Mwalimu 1998? Kwa nini alipelekwa hospitali ya St. Thomas ambayo ni general hospital isiyo specialize na magonjwa maalumu na kwa nini alipokuwa London aliwekwa hotelini mpaka alipozimia? Na alipopelekwa hospitali kwa nini hakuwekwa chumba maalumu akawekwa tu eneo wazi la wagonjwa wote?Tukipata majibu kwa maswali haya tutakuwa tumepata mwangaza wa hali ya siku za mwisho za Mwalimu London.

Duh hapo kuna kitu kimejificha
 
Kikwete and Mtandao Killed Mwalimu ????????



By. Lane Ludov
“I’d like to explain a complicated notion about the death of Mwalimu Julius Nyerere whom many have been led by Dr. Mwakyusa, Nyerere’s personal physician, to believe that he died of leukemia. Nyerere was healthy and walking normally when he left Dar for general check up, only for him to be brought back in a coffin draped with the national flag. He had not even gone to seek for medication or treatment. He was healthy and sound. That really devastated me, particularly when I was called from the Tanzania’s Ambassador in Moscow and requested to head back home urgently.”
These are the words of one of the Tanzanian detectives who is based in Asia.
“The circumstances leading to his death begun in 1995 when two friends going by the nickname “Boys II Men” booked a plane together and went to pick Presidential Contestant forms, filled them and flew back together. Mr Mkapa, with the strong support of Mwalimu Nyerere, won the elections and became president.
They then decided to form a group, ‘2005 Network’. Their first task was to ensure that they don’t lose again in 2005. Their first obstacle was Mwalimu Nyerere, and I guarantee you had Mwalimu been there to vie in 2005, this group would not have vied. He would have won again. “He had to go!” There was a mastermind named “Kingmaker” who was in charge of logistics. Mwalimu had to go. And Mwalimu did go. I don’t know whether God heard them or whether it was a scheme but the fact remains that Mwalimu was an obstacle, and the obstacle had now been removed.


In CCM, there’s a secret code where they take turns to front a candidate, Upcountry or Zanzibar and Muslim or Christian. It was agreed that since “Mr Clean” was a Christian who was in “BoysII Men” group, then they would field a Muslim. But the Christian was older than the Muslim so they settled on a gentleman’s agreement, that they would field the Muslim candidate for one-term presidency in 2005, then field the Christian candidate in 2010. It was very difficult to include Mkapa in that deal since he wasn’t part of the inner circle network so the sale of NBC was a way of convincing Mkapa using secret codes by BOT. The whole thing was planned by that network.


The second obstacle was CCM’s secret code which stated that if a President was from upcountry, then the next president must be from Zanzibar. The person groomed to take over from “Mr Clean” was the “Doctor” and since CCM’s 2005 presidential candidate had to be a muslim and had to be from Zanzibar, the designated candidate from Zanzibar had to go! Once the upcountry president’s tenure was over, they would replace him with another upcountry president under the pretext that there was no suitable candidate from Zanzibar. That’s why the Zanzibar designated candidate had to go. And he did go.


As a result, in 2005 it was a walkover for the candidate who was part of the network. When the other Doctor from OAU attempted to take part, he was “taken care of” by Rai and Mtanzania newspapers, and the person in charge of that operation was well rewarded although Karma had already started hitting him back and still continues to do so.”


The secret investigators admits there’s confusion and controversy surrounding the death of the first president of Tanzania, and it continues with more investigations.


About these ads


Share this:
Hii kitu ilinipita. Ubarikiwe mkuu.
 
Pole sana Watanzania, hawa Boys II Men ni watu hatari sana, na sasa mmoja ameshamaliza term yake anamwachia another member of their group!
 
Mwalimu Nyerere alianza kusigana na utawala wa Mkapa mara tu ya kuwepo kwa hoja ya kuiuza NBC kwa makaburu.Ilivyotokea ni kwamba Mwalimu aliwaita Gavana wa BOT (wakati huo akiwa Idris Rashid),Waziri wa Fedha na wasaidizi wengine wa mambo ya Finance ili kupata ukweli wa suala hilo.Hawakuudhuria mwito huo ndipo alipomtuma msaidizi wake Bw.Batao kumwita Mkurugenzi wa NBC wakati huo Bw. Kimori kwenda Msasani na wakati wa kikao hicho,Mkurugenzi huyo alimweleza Mwalimu ni jinsi gani serikali ingefanya makosa makubwa kuiuza NBC ingali kwamba serikali inapokuwa na uhaba wa fedha za kuendesha mambo katika idara nyeti kama Jeshi na Usalama wa Taifa ilikuwa inachukuwa fedha toka katika Benki hii.

Alimweleza mengi kiasi kwamba Mwalimu alishusha pumzi na kusema "kumbe nimewasomesha wataalamu wazuri hapa eeh!".Mwalimu akamuaga mkurugenzi huyu na kumshukuru kwa taarifa hiyo.Baada ya hapo Mwalimu aliomba kuonana na Rais Mkapa kule Msasani baada ya kumaliza shughuli zake ikulu.Mkapa alipelekewa taarifa hiyo na kujibu kwa kifupi tu "Ok...nimesikia"Mkapa hakutimiza hilo haraka ila alisubiri kwa siku moja.siku aliyokwenda msasani jioni alikuwa amelewa na hata ilikuwa ni kazi ya ziada kushuka kwenye gari kwani mpambe wake Kanali George simule na walinzi walipata kibarua cha kuhakikisha kwamba hakuna aibu ingetokea.Alifika sitting room na kukaa.Mwalimu aliposhuka toka katika chumba chake cha kulala aliiona hali ile ya Mkapa ilivyo.Hakusubiri kitu na hakuongea chochote na alirudi alikotoka.Hali hii ilifanya waliokuwepo kupata wakati mgumu licha ya kwamba Mama Maria kujaribu kumshawishi mumewe kuzungumza na ugeni ule...Mwalimu aligoma.

Asubuhi ya siku iliyofuata aliomba aonane na Kadinari Pengo.Mwalimu alikuwa akiheshimu sana viongozi wa dini hivyo alikwenda yeye ofisini kwa Pengo na hakutaka kadinari aende nyumbani kwake.Alpoingia ofisini kwa kadinari,kwa jinsi Mwalimu alivyokuwa na kawaida ya tabasamu na ucheshi wa hapa na pale,siku hiyo hata Pengo alishangaa kwa jinsi hali ya Mzee ilivyokuwa.Ilibidi kuwaomba radhi watu wengine waliokuwa mle ofisini kutoka na Mwalimu kubakia na mlinzi mmoja na kadinari namsaidizi wake mmoja.

mwalimu alianza kumweleza Pengo nia ya ujio wake na mambo aliyoelezwa na jitihada zake za kutaka kuzungumza na Mkapa juu ya suala hilo.Alipofika hapo Mwalimu alishindwa kuvumilia na kutoa machozi.."yaani leo Ben ananijia mimi amelewa??..mimi?" akamtazama Msaidizi wa Pengo huku macho yamejaa machoziakamwambia "Kamuulizeni nimemkosea nini Mimi kunifanyia hivyo?".Kwa jibu fupi lakini zito na huku amesononeka Pengo akasema "Mwalimu...nitalifanya hilo personally"...Baada ya hapo walipoona hali ya Mwalimu imekuwa ya kawaida baada ya kulitoa dukuduku lake,Mwalimu alimuomba radhi Pengo kwa hali ile na kuomba ruhusa kuondoka.

Ujumbe ulimfikia Mkapa kupitia kwa Pengo na hili alilifanya kama kiongozi wa kiroho.lakini bado katika hali ya kushangaza Mkapa hakwenda tena nyumbani kwa Mwalimu kumuona.

Wiki hiyo hiyo mwalimu baada ya kutoka kanisani kanisa la St Peter Oysterbay alikwenda nyumbani kwake Msasani na baadya ya kifungua kinywa alimwambia msaidizi wake kuwa anahitaji kwenda ikulu mara moja....

JE BAADA YA KUFIKA IKULU NINI KILIENDELEA?...KWA NINI MWALIMU ALIENDA BILA MIADI NA OFISI ILE? NA KWA NINI ALIENDA BILA KING'ORA NA GARI LA WALINZI TU? TUWE NA SUBIRA...
3.KIZAA ZAA NDANI YA IKULU
Katika msafara ule ni watu wachache waliofahamu ujio wa Mwalimu Ikulu.Wakati Mwalimu anafika nje wa viwanja vya Ikulu,Mkapa alikuwa na wageni kutoka shirika la Oxfam la Uingereza ikiwa ni moja ya shughuli zilizokuwa kwenye ratiba ya rais kwa siku ile.Hivyo kwa kipindi hicho anawasili Mwalimu mazungumzo ya Mkapa na ugeni wake yakiendelea ndipo alipofuatwa na mmoja wa makatibu wa Rais na kumnong'oneza juu ya kuwepo kwa Mwalimu pale ikulu kitu kilichomfanya Mkapa kuomba radhi kwa wageni wake na kutoka kwa haraka na kumfuata Mwalimu katika Private Office ya rais(OBR 1).Baada ya salamu tu Mwalimu aliomba kuwa na mazungumzo ya faragha na Rais hivyo walibaki tu wale wanaoruhusiwa na itifaki kuwepo katika mazungumzo ya aina hiyo.

Inasemekana katika maisha ya serikalini siku hiyo mwalimu alikuwa ni mkali sana.Alimweleza sehemu alizopita na kuzungumza suala hili na kutaka kujua sababu za Mkapa kumdharau kiasi hicho na isitoshe pamoja na ujumbe toka kwa kardinari Pengo bado alionyesha kutokujali wito wa Nyerere.Inasemekana Mkapa wakati wote wa mazungumzo hayo alikuwa kimya na kujibu kwa uchache sana maswali ya Nyerere tena kwa kutazama chini na kila wakati kujifuta jasho pamoja na viyoyozi vilivyokuwepo.Mwisho wa mazungumzo yale Mwalimu alimweleza Mkapa,

"Ben ! umenidhalilisha sana,umenisaliti...sijui nitaweka wapi uso wangu"...sasa nasema hivi maliza kiporo chako hiki ukapumzike...tumpate mtu serious hapa..!" Alimaliza kuzungumza akiwa tayari wima na kutoka nje ya ofisi ile.Kwenye korido za ikulu mwalimu alionekana akitembea kwa haraka kuelekea nje tayari kupanda gari lake na hakusalimiana na yeyote wala kuzungumza lolote zaidi ya kutoa ishara ya kupunga mkono kwa waliokuwa wakimsalimia.
Alirudi Msasani akionekana kuwa na mawazo na macho kuwa mekundu,nywele kuwa katika hali ya kuvurugika kiasi fulani....

Ee bhana eeh kweli Hakuna neno lililositirika lisilowekwa wazi.
 
Iscariot alikuwa ameshaweka kibindoni millioni 300 za kaburu kwa kuuza NBC.
 
julius nyerere, hakufa kifo cha kawaida.aliuawa kwa sumu iliyopandikizwa ndani ya mwili wake.siri hiyo anaijua daktari wake na baadhi ya maofisa na wasaidizi wake.alilazimishwa kwenda "kuangaliwa" afya yake na mara baada ya kutoka katika hospitali kwa "checking" hiyo na kuwasili alipofikia guest wing london alianza kujisikia vibaya na hatimaye alianguka ghafla na kudakwa na mlinzi wake aitwaye mkanzabi.ndipo yalipofanyika mawasiliano ya haraka ili kumuwahisha hospitali.cha ajabu wakati anaondoka tanzania, mkapa alikuwa akijiandaa kwenda katika mkutano mmoja huko ulaya.alipozidiwa mwalimu,mkapa alipitia london kutokea zurich,lakini kwa mujibu wa madai yake huyu bwana alidai hakuweza kumwona kwa karibu,ila alimwona kwa mbaaali.hii inadhihirisha wazi kwamba alienda kumsanifu mzee huyo wa miaka 77 akiwa kitandani hoi.aliporudi tanzania alikutana na waandishi wa habari na kudai ikulu itakuwa ikitoa taarifa za maendeleo ya mwalimu huku akisema kwa maneno ya mafumbo kuwa "mwalimu is recovering slowly"(dying slowly!).wakaona mtu wa kumtuma kudhibiti yanayoendelea london ni kingunge ngombale mwiru.mzee huyu alipewa cheo kuwa mshauri wa mkapa kuhusu siasa na mbunge wa kuteuliwa.
Mwalimu alifariki dunia na kuzikwa kwao butiama.
Mwaka mmoja baadaye (2000),mkapa alienda butiama kuhani katika kaburi la mwalimu.yaliyotokea pale ni mauza uza ya ajabu ikiwa ni pamoja na kuvunjika kimaajabu kwa msalaba katika kaburi la mwalimu!!.yaliandikwa katika magazeti,lakini yalifichwa na kufunikwa.toka musoma,mkapa alienda mwanza na pale mnakumbuka palitokea ajali mbaya ya basi lililoacha njia na likawa linafuata gari alilopanda mkapa.walikufa watu wengi!
Miezi kadhaa baadaye mkapa alianza kuugua maradhi yaliyomfanya akae nje ya tanzania kwa muda wa miezi kadhaa kabla ya kurudi akitembelea magongo!!
Ikumbukwe kwamba baada tu ya nkapa kwenda ulaya kwa matibabu ,nyumba ya rais ikulu iliungua.majanga haya ni matokeo ya aliyoyasimamia nkapa juu ya kifo cha mwalimu.
Yapo mengi wanayojua watanzania ila kwa hili tuishie hapa kwanza.

nimeipenda hii mkuu. Inatupa mwangaza wa mambo mengi kuhusu hiki kinachojadiliwa. Mola atawamaliza wote waliohusika.
 
Subirini siku ambayo wazalendo watatawala hii nchi na mahakama ziwe huru.
Utafanywa uchunguzi wa kimataifa na ukweli utajulikana na kama kuna aliyehusika hata kama atakua kaburini,kaburi la atakayetajwa kuhusika na kifo cha Mwalimu itabidi lijengwe public toilet juu yake.




Tamu sana hii kaka. Hakika inabidi iwe hivyo kwa wote wanaohusika.
 
Kama ni kweli hawa boys ii men na mkapa walifanya haya nchi itaelekea vitani
 
Mkuu,

Mwalimu alikuwa tayari ameshastaafu, alikuwa anakula pensheni yake na kuwasumbua ambao walikuwa wameshika usukani... Mara awaite "wahuni", "wasipanajisi pahali patakatifu", alikuwa anawakaripia watu kama watoto wadogo..kwa vyovyote alianza kuwa kero kwa waliotaka kuvuna shamba la bibi.
Sasa kama alikufa au alitengenezewa ajali ,sidhani kama ni la muhimu sana. yeye mwalimu aliwapoteza wangapi wakati wote wa utawala wake?
Tumuache apumzike huko aliko. Pale alituachia basi tujitahidi kuyaendeleza mazuri yake na twende mbele kwa mbele. wafu hawatatusaidia tena katika haya yanayotukabili kwa sasa.

Duuuuh.....
 
Wewe acha kufukua kaburi la Baba wetu wa Taifa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere let him be and let him rest in peace . kwann umekuja na hiyo hoja humu kwanza hujasalimia inaonekana umetumwa na jirani wewe tuzipige lakini hatuzipigi ng'o
 
Ni mda Mrefu natumai umepata jawabu tushirikishe.
 
Sawa, baada ya kugundua mr. Clean is not clean!!



Ni notion iliyojengeka vichwani mwa watu kwa miaka mingi, lakini si kweli.

Nyerere personally alikosea sana alipowaamini usalama wa taifa mno kuliko kawaida. mafisadi walipitia huko huko, hata wakati anafanya mchakato wa nani aje kuwa rais wa nchi hii, aliwatumia hao hao UWT, kumbuka kuwa neno MR.CLEAN limetokea UWT na alishapewa kabla hata ya kufika dodoma kwenye uteuzi wa mgombea wa urais. Mkapa alipandikizwa, akapigiwa chapuo kwa Nyerere, Nyerere akajaa mzima mzima! he was right to trust them!!! God help Us! tu na akapewa sifa na baadae ilibidi azirudishe fadhila bila yey kujua au kuwa na nguvu.

Hata ilipofikia kuwa jamaa wanataka wamuondoshe JKN Mkapa hakuwa na la kufanya, wakati akina Kikwete wanazitoa fedha za EPA Mkapa hakuwa na nguvu tena!!!

PM-Pinda alipokuja kusema nchi ina wenyewe na ukiwagusa nchi itatikisika hakuwa anadanganya!

Nasisitiza kuwa JKN alipandikiziwa hiyo cancer South Africa! UWT wanalijua vyema hili swala na wanajua lini haswa alikufa.

Hakika ninyi ni waberoya
 
Back
Top Bottom