Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
Nakumbuka moja kati ya hotuba zake, wakati wa kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwake, alisema kuwa anashangaa sana kwa vitoto... au vijana wadogo vinakufa kwa maradhi, na akasema kuwa hata rais wa awamu ya nne atamshuhudia... Masikini kumbe hakujuwa kuwa kifo kupitia maradhi ya Saratani ya Damu (leukaemia), kinamsubiri.Mwl died of illness not natural death,very sad he died because of "mkanda wa jeshi"cant remember Kizungu meaning Hyperzosta or something
Nakumbuka moja kati ya hotuba zake, wakati wa kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwake, alisema kuwa anashangaa sana kwa vitoto... au vijana wadogo vinakufa kwa maradhi, na akasema kuwa hata rais wa awamu ya nne atamshuhudia... Masikini kumbe hakujuwa kuwa kifo kupitia maradhi ya Saratani ya Damu (leukaemia), kinamsubiri.
Lakini haya yote hayatusaidii chochote, kama kifo chake ni death by natural causes au si natural causes... kifo ni kifo tu. Alafu basi wataalam wa utabibu wanatuambia kuwa kifo kinacho tokana na maradhi ni natural death... Naye si amekufa kutokana na maradhi ya Saratani ya Damu? Kwa hiyo ni natural death.
Hivi Leukaemia* usababishwa na kitu gani? Siku zake za kuishi hapa dunia zilisha kwisha...! Hakuna cha mkono wa mtu wala nini!Inawezekana ilikuwa "natural death" ya kubambikiza tu. Niliwahi kuhoji siku moja hapa kama kweli kifo cha huyu Mzee hakikuwa na mkono wa mtu lakini hakuna aliye support nilichokisema. Ukiangalia wizi wa mali za umma (madini, misitu, viwanda n.k) vilivyotokea baada ya Nyerere kufumba macho, unaweza ukafikiria mara mbili mbili kama kweli huyu Mzee hakuuwawa na watu waliokuwa wanamwona yeye kuwa kikwazo cha wao kujilimbikizia mali.
Mwenye kuujua ukweli na hasa aliyeleta mada hii nafikiri kuna kitu anajaribu kutafuta au kuna ukweli unaujua na sasa anajaribu kuangalia watanzania tunajua ukweli kiasi gani juu ya kifo cha Nyerere.
Tiba
mkuu kumbukumbu zako ni sahihi nadhani msemaji kajichanganya kidooogo kama alikuwa hatudanganyi!Hii hotuba hivi haikuwa kabla uchaguzi haujafanyika 1995? Na maana kuwa Ben alikuwa bado hajaanza kutawala, Au kumbukumbu zangu zimechakachuliwa.
A death by natural causes, as recorded by coroners and on death certificates and associated documents, is one that is primarily attributed to natural agents: usually an illness or an internal malfunction of the body. For example, a person dying from complications from influenza, (an infection), or a heart attack (an internal body malfunction) would be listed as having died of natural causes. "Old age" is not a scientifically recognized cause of death; there is always a more direct cause although it may be unknown in certain cases and could be one of a number of aging-associated diseases.Kikongwe anaweza kugöngwa na gari akafa and that'll be a natural death....