Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!

kwa style hii mta-question kila kifo. Unless we have differences in defining the term 'natural death' YES - Mwalimu 'went' naturally
 
Binafsi huwa naamini kuwa myu akiuliza swali anahitaji majibu na kueleweshwa vyema. hata kama kakosea kuuliza ni vyema tukamjibu kwa upole.
jamani kuuliza si ujinga ila kutouliza ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Mwl died of illness not natural death,very sad he died because of "mkanda wa jeshi"cant remember Kizungu meaning Hyperzosta or something
 
Ndugu zangu japo sijawahi kuchangia hoja kwenye Jamii Intellingence kwa hoja hii ya Mwalimu inabidi nichangie. Kuna taarifa nilishawahi kuisikia mahala fulani kuwa Mwalimu did not die a natural death. Kuna watu walitekeleza mpango huu baada ya kuona kuwa kuwepo kwa mwalimu kulikuwa ni kikwazo kwa wao kutimiza malengo yao ya kisiasa. Inasemekana mtu waliyemtumia alikuwa ni mtu wa karibu sana na mwalimu na baada ya kutimiza hujuma ile na watu wale kutimiza malengo yao ya kisiasa mtu huyo aliyefanikisha mpango huo alikuja kupewa uwaziri. Kumbukeni mwalimu aliwakataa watu fulani wakati wa uhai wake lakini baada ya yeye kufariki watu hao hao wakawa viongozi wetu wakuu . Sitaki kutaja majina ya watu waliohusika na mpango huo japo kwenye taarifa ile ambayo haikuwa rasmi walitajwa.
 
Mwl died of illness not natural death,very sad he died because of "mkanda wa jeshi"cant remember Kizungu meaning Hyperzosta or something
Nakumbuka moja kati ya hotuba zake, wakati wa kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwake, alisema kuwa anashangaa sana kwa vitoto... au vijana wadogo vinakufa kwa maradhi, na akasema kuwa hata rais wa awamu ya nne atamshuhudia... Masikini kumbe hakujuwa kuwa kifo kupitia maradhi ya Saratani ya Damu (leukaemia), kinamsubiri.

Lakini haya yote hayatusaidii chochote, kama kifo chake ni death by natural causes au si natural causes... kifo ni kifo tu. Alafu basi wataalam wa utabibu wanatuambia kuwa kifo kinacho tokana na maradhi ni natural death... Naye si amekufa kutokana na maradhi ya Saratani ya Damu? Kwa hiyo ni natural death.
 
Inawezekana ilikuwa "natural death" ya kubambikiza tu. Niliwahi kuhoji siku moja hapa kama kweli kifo cha huyu Mzee hakikuwa na mkono wa mtu lakini hakuna aliye support nilichokisema. Ukiangalia wizi wa mali za umma (madini, misitu, viwanda n.k) vilivyotokea baada ya Nyerere kufumba macho, unaweza ukafikiria mara mbili mbili kama kweli huyu Mzee hakuuwawa na watu waliokuwa wanamwona yeye kuwa kikwazo cha wao kujilimbikizia mali.

Mwenye kuujua ukweli na hasa aliyeleta mada hii nafikiri kuna kitu anajaribu kutafuta au kuna ukweli unaujua na sasa anajaribu kuangalia watanzania tunajua ukweli kiasi gani juu ya kifo cha Nyerere.

Tiba
 
Hivi Leukaemia* usababishwa na kitu gani? Siku zake za kuishi hapa dunia zilisha kwisha...! Hakuna cha mkono wa mtu wala nini!

*Leukemia, like other cancers, results from somatic mutations in the DNA.
Among adults, the known causes are natural and artificial ionizing radiation, a few viruses such as Human T-lymphotropic virus, and some chemicals, notably benzene and alkylating chemotherapy agents for previous malignancies.

Source: wkipedia
 
Kifo cha Mzee Nyerere bado ni Kitendawili!!
Ni vigumu ku-establish link kati ya kifo chake na hawa mafisadi waliojaa kiburi sasa hv!!!
Ni vigumu kusema kwamba wanahusika moja kwa moja lakini naweza kudiriki kusema kwamba wapo ambao WALIFURAHIA habari za kifo chake!!
Kuna watu mwalimu haliwakataa kabisa wakati wa Utawala wake,lakini miaka michache baada ya kufumba macho mwalimu,hawa wahuni wakashika hatamu za Uongozi wa Nchi!!!!
 
Mwl died a 'NATURAL DEATH'. He died of LEUKEMIA au kwa kugha rahisi cancer ya damu. Labda tumetofautiana definition ya natural death. Any person who died due 2 any cause as long as amefikia au hata kuvuka life expectancy of that particular society atakuwa amekufa a natural death. Kikongwe anaweza kugöngwa na gari akafa and that'll be a natural death. Mtoto akifa due to anything that's not natural death. It's tragic death coz hajawahi kupata nafasi ya kufurahia the meaning of life na hajatoa mchango wake to its full potential ndani ya jamii hiyo husika. Nyerere alikuwa ashastaafu then akafa na leukemia and we calk that natural death. Kuhusisha kifo cha Mwl na mafisadi that's I have no idea!
 
Hii hotuba hivi haikuwa kabla uchaguzi haujafanyika 1995? Na maana kuwa Ben alikuwa bado hajaanza kutawala, Au kumbukumbu zangu zimechakachuliwa.
mkuu kumbukumbu zako ni sahihi nadhani msemaji kajichanganya kidooogo kama alikuwa hatudanganyi!
 
Style tamu sana hii ya kuingilia ...hata mimi natamani ningeanza na style km yako...............karibu sn
 
Na mimi nina Swali hivi mtoa mada...... Tangia utoe hii mada umekwenda wapi? Je is everything okay
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateFri Nov 2010Posts1Thanks0Thanked 1 Time in 1 Post
 
Death is defined simply as the end of life. Or as termination of the biological functions that sustain a living organism. Natural end of life (natural death) and unnatural end of life (unnatural dealth). In my opinion there is no natural or unnatural end of life, but there are factors that cause to the termination of the biological functions that sustain a living organism(death). Every living human being will die. Mwalimu died , had left us but i believe spiritually he is with us and may the almighty god rest his sour in eternal peace. I would like to get examples of people who passed away naturally and those who passed away unnaturally. Factors like natural disasters that causes death, mad sliding, flooding, volcanic erupts, sunami, eathquakes can it be refered to natural death? Or death occuring on your dream can be refered as unnatural death?......death is death whether it comes from dream, natural disasters or any other form is still death. Lets join together to pray for mwalimu our hero who contributed a lot in uniting the people of tanzania. Peace be in him and peace be in you who brought this discussion. Thank you to the almighty god for giving tanzania mwalimu the first president who really served his people peacefully and now we speak the common language . God bless tanzania and its people.
 
ushahidi wa kimazingira kwa wanaofikiria vyema ze mwalimu was silenced.Only that we should be careful discussing this issue because the atmosphere is not conducive securitywise to all of us who gonna be involved in this discussion.FYI the death of mwl meant alot to the fisadi whereas his life spelt 'kibano'to them in fulfilling their evil aspirations.Telling from the series of matukio sequeled his death.Lo! Mwalimu alale anapostahili.
 
Baada ya kifo tutaanza kuulizana if he was born natural birth. Mambo yashatokea yametokea. Jadilini vitu vitakavyoleta +ve impacts kwa sasa. Haya mkishajua kuna mkono wa mtu mtafanya nini sasa?
 
Kikongwe anaweza kugöngwa na gari akafa and that'll be a natural death....
A death by natural causes, as recorded by coroners and on death certificates and associated documents, is one that is primarily attributed to natural agents: usually an illness or an internal malfunction of the body. For example, a person dying from complications from influenza, (an infection), or a heart attack (an internal body malfunction) would be listed as having died of natural causes. "Old age" is not a scientifically recognized cause of death; there is always a more direct cause although it may be unknown in certain cases and could be one of a number of aging-associated diseases.
 
Back
Top Bottom