Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hotuba hivi haikuwa kabla uchaguzi haujafanyika 1995? Na maana kuwa Ben alikuwa bado hajaanza kutawala, Au kumbukumbu zangu zimechakachuliwa.
mkuu kumbukumbu zako ni sahihi nadhani msemaji kajichanganya kidooogo kama alikuwa hatudanganyi!
did you also died a natural death¨??umepotelea wapi sasa:whoo:I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
Je JK atakufa natural DETH?
Kumbukumbu zako zimechakachuliwa !
Yaani hata wewe ! Mkapa alichaguliwa mwaka 1995. Hotuba ya Mwalikmu kwa wafanyakazi Mbeya ilikuwa mwaka 1997, upo ? Alikuwa anapinga mpango wa kuuza NBC na ndio siku aliongelea upumbavu wa mtu kupewa ushauri wa kijinga !
Sisi watu wa pwani, tuna msemo, "Elam ya mout bi saifi mata bi ghairihi, tanawaat 'lasbab, wal mut wahid", bi maana: Afae kwa upanga au kwa kingine chochote kile, kifo ni kimoja tu.
Alie kufa, kafa, hata iwe sababu ipi? Kifo ni kifo
Vipi gavana wa benki kuu ya Tanzania BILALI
Did billal die a natural death??
TATA ngoja nikusaidie najua lugha imekupita kidogo😀id Mwalimu die a natural death??= Je Mwalimu alikufa kifo cha kawaida?
hotuba ile ilikuwa mei mosi 1995 nilikuwepo uwanja wa sokoine Mbeya Kwa wakati huo mwanafunzi MTC
Kumbukumbu zako zimechakachuliwa !
Yaani hata wewe ! Mkapa alichaguliwa mwaka 1995. Hotuba ya Mwalikmu kwa wafanyakazi Mbeya ilikuwa mwaka 1997, upo ? Alikuwa anapinga mpango wa kuuza NBC na ndio siku aliongelea upumbavu wa mtu kupewa ushauri wa kijinga !